Nikuulize ili iweje? Nipo hapa kusoma uzi wa insider na ntamuuliza mtoa uzi siyo wewe, usijipe umuhimuciao tena.. maana duuuuuh ungeniuliza nikuelezeee.. huyo unamtaja namwona kwa media.. ati ciao and pole
kutukana sio vizuri unajionyesha upoje...
Ndiyo, kwa hiyo unatakaje?daaa..kwa kutukana umeonyesha... jeeeeeeeelaaaaaasiiiiii imekujaaa
ciao
Vijana tukishajipata tunajisahau sana,Muulize wakati anaanza kuishi na mama j, mama j alikuwa na shughuli gani? Biashara anazofanya mama j sasa mtaji alipewa na Insiderman mwenyewe,
Hakika maana moves za jamaa ni za hatari yaani yeye hata kama ni kauzi kadogo ndo kameshikilia maisha yake yeye bado tu atacheza nakoVijana tukishajipata tunajisahau sana,
Dooh nimecheke kwa sauti kubwanilipofika hapo uliposema ulimfanyia Marry shopping ukatumia laki sita nimeshtuka sana j hadi pressure ikapanda hiyo hela ni mshahara wangu wa miezi karibu mitatu hapa kwa Mhindi. Sema mwamba INSIDER MAN Unawapata warembo kirahisi sana ila una uwezo mkubwa wa ku-control hisia na kuamua mambo yako ingekuwa limbukeni mimi ningekuwa namlala kila mtu ninayekutana naye bila kujali umelewa au hujalewa suala la kubaka kwangu sio tatizo.
Kuna Docs nilikutumia PM ukipata time zipitie mkuu
hahahahDooh nimecheke kwa sauti kubwa
IZo nyege mdau jitahidi uzipunguzeJana nilienda Baobab nilimuona mdada rangi nyeusi sio nyeusi maji ya kunfe sio maji ya kunde ......... kaumbika uyo hatar nikaishia kusema au uyu ndio merry mwenyewe nn..........!
Nimecheka wallahIZo nyege mdau jitahidi uzipunguze
Ila Insider we kila mwanamke unataka kuzaa naye tuachane na wote hapo kwa Mary kweli mtu umetembea na mdogo wake Prisca sasa hivi upo na dada yake na unataka kuzaa naye nahisi una undugu na king mswati [emoji119]
Yaani ye ukidume wake anaona kila mwanamke anayetembea naye amzalishe [emoji1787]nampa pole sana mama juniorShunie nimecheka sana,
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
ni balaaa, Iryn kamfungulia njia huyoooo anajiachia tu
Jinga sana hili, eti nataka mtoto nae anizalie, zwazwa kweli.Yaani ye ukidume wake anaona kila mwanamke anayetembea naye amzalishe [emoji1787]nampa pole sana mama junior
NI UMASIKINI WETU TU WANAUME, ILA KILA MWANAUME ANAPENDA KUZAA NA KILA MWANAMKE MWENYE AKILI. mimi sasa hivi muhindi akinipandishia mshahara ukifika hata laki tano kuna mademu kama wanne hivi nataka kuzaa nao, sahv nimezaa na mama E tu kwa sababu mshahara wa mhindi ni 180k kwa mwezi mzima wenye siku 30 na 31Ila Insider we kila mwanamke unataka kuzaa naye tuachane na wote hapo kwa Mary kweli mtu umetembea na mdogo wake Prisca sasa hivi upo na dada yake na unataka kuzaa naye nahisi una undugu na king mswati [emoji119]