Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Kuna bifu halafu kuna hili bifu la cocochanel na mary
Coco mambo vp, kuna story ya jamaa anajiita Patrick ka unayo link yake naomba 🙏Karibu sana
🤗
Tupate link pia wengine tumepoa sana hamna cha kusoma.Coco mambo vp, kuna story ya jamaa anajiita Patrick ka unayo link yake naomba 🙏
Yap ipo poa, basi tu sina link yake.Tupate link pia wengine tumepoa sana hamna cha kusoma.
Coco mambo vp, kuna story ya jamaa anajiita Patrick ka unayo link yake naomba 🙏
Huwezi amini zote humo ndani nimezisomagabriel Heinze
Tembelea huu uzi
Kuna links na mengi juu ya simulizi humu, tena umenikumbusha sijasema nyingi humo.. Naenda kuweka kambi huko nikiwa free. Najifunza pia swahili kizuriiii 😊
Habari wapendwa? Poleni na jukumu zito la ujenzi wa nchi yetu nzuri ya Tanzania. Ama baada ya salamu niende kwenye maada moja kwa moja. Leo nimeona nilete simulizi kumi kali nilizowahi kusoma hapa JF. Haimaanishi kwamba hizi ndio bora kuliko zingine ambazo sijazitaja hapana bali nimeamua tu kushare hizi chache na nyie mpate kuburudika kama ni mpenzi wa masimulizi najua zipo zingine kali sana nawewe pia sio vibaya ukitaja hapa nasisi pia tupate kuburudika.!
Karibuni
10.Goodness of fit:Love,Loyalty na Betrayal
Shukurani kwake KigaKoyo kwa hii simulizi niliipenda sana hasa namna...
- Wakipekee
- Replies: 231
- Forum: Entertainment
kocha Nabi karibia kwa hiyo link upate simulizi tele za humu
Zingine ona taito usechi pia
Ubarikiwegabriel Heinze

Huwezi amini zote humo ndani nimezisoma