gabriel Heinze
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 512
- 685
Nilijua we ni mtu wa nguvu utasaidia. Ahsante mkuugabriel Heinze
Tembelea huu uzi
Kuna links na mengi juu ya simulizi humu, tena umenikumbusha sijasema nyingi humo.. Naenda kuweka kambi huko nikiwa free. Najifunza pia swahili kizuriiii 😊
Habari wapendwa? Poleni na jukumu zito la ujenzi wa nchi yetu nzuri ya Tanzania. Ama baada ya salamu niende kwenye maada moja kwa moja. Leo nimeona nilete simulizi kumi kali nilizowahi kusoma hapa JF. Haimaanishi kwamba hizi ndio bora kuliko zingine ambazo sijazitaja hapana bali nimeamua tu kushare hizi chache na nyie mpate kuburudika kama ni mpenzi wa masimulizi najua zipo zingine kali sana nawewe pia sio vibaya ukitaja hapa nasisi pia tupate kuburudika.!
Karibuni
10.Goodness of fit:Love,Loyalty na Betrayal
Shukurani kwake KigaKoyo kwa hii simulizi niliipenda sana hasa namna...
- Wakipekee
- Replies: 231
- Forum: Entertainment
kocha Nabi karibia kwa hiyo link upate simulizi tele za humu
Zingine ona taito usechi pia
Kuna nn boss
HAHAHAHHAHAHAHAHAinsider kaamua kutoweka kama WASIOJULOKANA
Jamaa mbona hajasomea masters yake UDSM lakiniKuna dada mmoja, jina lake linaanzia na G, chotara wa Ethiopia na South Africa. Aliwahi kunitafuta Instagram akiwa na uhitaji mkubwa wa cheti cha kuzaliwa ili apate NIDA. Nikamuunganisha na madalali wa RITA. Cha kushangaza, kuna code nyingi sana zinazofanana na hii story. Alikuwa na jamaa aliyekuwa anasoma Masters UDSM, ambaye pia alikuwa mchepuko wake, na mambo yakafanikiwa.
Lakini ilipofika hatua ya kufuatilia masuala ya NIDA, kulikuwa na kiasi kilitakiwa aingize jamaa yuleyule. Tangu Januari, jamaa akawa hapatikani kabisa. Juzi Jumamosi nikiwa Sinza, nikaambiwa yeye na mchepuko wake walipata ajali mbaya na kufariki wote maeneo ya Kimara.
Sisemi ni INSIDER, lakini kuna vitu vingi sana kwenye hadithi hii vinafanana kwa kiwango kinachotia hofu. MODS tafadhali fuatilieni, nina wasiwasi wa kama asilimia 60 huenda ni yeye.
nimsema code nyingi zinafanana sio zote na huyo alikuwa mchepuko tuJamaa mbona hajasomea masters yake UDSM lakini
Kuna link alituma ya dukani na ukiingia instagram nadhani tunaweza kupata mawasiliano au mtu mmoja aliyepo dar aende kwenye hilo duka naamini atapata taarifa flani hatakama hawamjui kwa jina la insider ila unaweza kuuliza kiujanja flani hv ukapata jibu kamili ni muhimu kufuatilia unajua kuna issue za hatar alikuwa anazifanya ikiwemo ile kesi ya kampuni ya babayake irene bongo kesi za vile ni hatar sana kesi nyingi ni uchawi na dhuluma kali na hata lawyer alimuuliza maswalli kama yuko tayari kwa vitu flani kutokea aliona hatari iliyoko mbeleni.waliopo dar wanaweza kutusaidiankwenda dukani pale maana ipo link humu ya dukani na najua ni kati ya duka lake au lile ameshare na yule mama nani yule mwenye baby boy.nimsema code nyingi zinafanana sio zote na huyo alikuwa mchepuko tu
Tella beauty TzKuna link alituma ya dukani na ukiingia instagram nadhani tunaweza kupata mawasiliano au mtu mmoja aliyepo dar aende kwenye hilo duka naamini atapata taarifa flani hatakama hawamjui kwa jina la insider ila unaweza kuuliza kiujanja flani hv ukapata jibu kamili ni muhimu kufuatilia unajua kuna issue za hatar alikuwa anazifanya ikiwemo ile kesi ya kampuni ya babayake irene bongo kesi za vile ni hatar sana kesi nyingi ni uchawi na dhuluma kali na hata lawyer alimuuliza maswalli kama yuko tayari kwa vitu flani kutokea aliona hatari iliyoko mbeleni.waliopo dar wanaweza kutusaidiankwenda dukani pale maana ipo link humu ya dukani na najua ni kati ya duka lake au lile ameshare na yule mama nani yule mwenye baby boy.
Ninapoisom hii taarifa najisikia kuchoka. Ila kwanamn yoyote jamaa atakuwa ana shida ata kama iyo ajali haimusu yeyeKuna dada mmoja, jina lake linaanzia na G, chotara wa Ethiopia na South Africa. Aliwahi kunitafuta Instagram akiwa na uhitaji mkubwa wa cheti cha kuzaliwa ili apate NIDA. Nikamuunganisha na madalali wa RITA. Cha kushangaza, kuna code nyingi sana zinazofanana na hii story. Alikuwa na jamaa aliyekuwa anasoma Masters UDSM, ambaye pia alikuwa mchepuko wake, na mambo yakafanikiwa.
Lakini ilipofika hatua ya kufuatilia masuala ya NIDA, kulikuwa na kiasi kilitakiwa aingize jamaa yuleyule. Tangu Januari, jamaa akawa hapatikani kabisa. Juzi Jumamosi nikiwa Sinza, nikaambiwa yeye na mchepuko wake walipata ajali mbaya na kufariki wote maeneo ya Kimara.
Sisemi ni INSIDER, lakini kuna vitu vingi sana kwenye hadithi hii vinafanana kwa kiwango kinachotia hofu. MODS tafadhali fuatilieni, nina wasiwasi wa kama asilimia 60 huenda ni yeye.
Wewe unaunga watu NIDA sio raia wanchI, TUNAKUTAFUTAKuna dada mmoja, jina lake linaanzia na G, chotara wa Ethiopia na South Africa. Aliwahi kunitafuta Instagram akiwa na uhitaji mkubwa wa cheti cha kuzaliwa ili apate NIDA. Nikamuunganisha na madalali wa RITA. Cha kushangaza, kuna code nyingi sana zinazofanana na hii story. Alikuwa na jamaa aliyekuwa anasoma Masters UDSM, ambaye pia alikuwa mchepuko wake, na mambo yakafanikiwa.
Lakini ilipofika hatua ya kufuatilia masuala ya NIDA, kulikuwa na kiasi kilitakiwa aingize jamaa yuleyule. Tangu Januari, jamaa akawa hapatikani kabisa. Juzi Jumamosi nikiwa Sinza, nikaambiwa yeye na mchepuko wake walipata ajali mbaya na kufariki wote maeneo ya Kimara.
Sisemi ni INSIDER, lakini kuna vitu vingi sana kwenye hadithi hii vinafanana kwa kiwango kinachotia hofu. MODS tafadhali fuatilieni, nina wasiwasi wa kama asilimia 60 huenda ni yeye.
Dada yake wa Atown apigiwe simu aulizweKuna dada mmoja, jina lake linaanzia na G, chotara wa Ethiopia na South Africa. Aliwahi kunitafuta Instagram akiwa na uhitaji mkubwa wa cheti cha kuzaliwa ili apate NIDA. Nikamuunganisha na madalali wa RITA. Cha kushangaza, kuna code nyingi sana zinazofanana na hii story. Alikuwa na jamaa aliyekuwa anasoma Masters UDSM, ambaye pia alikuwa mchepuko wake, na mambo yakafanikiwa.
Lakini ilipofika hatua ya kufuatilia masuala ya NIDA, kulikuwa na kiasi kilitakiwa aingize jamaa yuleyule. Tangu Januari, jamaa akawa hapatikani kabisa. Juzi Jumamosi nikiwa Sinza, nikaambiwa yeye na mchepuko wake walipata ajali mbaya na kufariki wote maeneo ya Kimara.
Sisemi ni INSIDER, lakini kuna vitu vingi sana kwenye hadithi hii vinafanana kwa kiwango kinachotia hofu. MODS tafadhali fuatilieni, nina wasiwasi wa kama asilimia 60 huenda ni yeye.
yaani mimi nakwambia nilipata taarifa baada ya zaidi ya mwezi alafu unataka picha na detail hivi huwa hausomi na kuelewa kilichoandikwa?????Tupe details za hiyo ajali ndo tutaweza pata ufumbuzi kama picha za ajali, na number ya gari