Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nina 50k hapa nataka itoa kwa watu watano (5). Nitaitoa kwa member ambao wako Active sana kwenye hii thread tangu tumea

Nina 50k hapa nataka itoa kwa watu watano (5). Nitaitoa kwa member ambao wako Active sana kwenye hii thread tangu tumeanza.
Nikiikosa hii nitakuwa na gundu maana nimekuwa Teja wa hii story Hadi Jana nimelala saa 7 usiku kisa kuona mwendelezo,tupe mwongozo boss.
 
Nina 50k hapa nataka itoa kwa watu watano (5). Nitaitoa kwa member ambao wako Active sana kwenye hii thread tangu tumeanza.
Mimi mmoja wapo . Tangu unaanza story nipo , tangu upo kwa Auncle wako mpaka anakuunganisha kazini kwake kwa Wachina kuuza mabegi .

Nipo hadi unakutana na Irine , unakutana na Mzee Pama mnafanya mengi mpaka kusimamia ujenzi wa nyumba ambayo sasa anaishi Jane. Nipo tangu unakutana na Irine hadi na Muajemi, unakutana na Prisca n.k
 
Nina 50k hapa nataka itoa kwa watu watano (5). Nitaitoa kwa member ambao wako Active sana kwenye hii thread tangu tumeanza.
Kamanda nimekuwa Na wewe Mwanza hadi leo (Binafsi sihitaji hiyo 50k) sio kwamba sina shida ila nataka uwe mentor wangu unipe A B C niondokane na UMASKNi tu napambana ila mbele sioni Mwanga kabisa


Kwq Ground Chief maisha magumu sana ni mungu tu anajua hasa kwa si
 
Back
Top Bottom