Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

cocochanel Akiikosa basi nitajua ugomvi wake na Marry umekuwa dhahiri

Wajameni 😊
Sasa Mary si anapenda alipoona mdogo wake nae aingie, tabia mbaya na inaonyesha maishani mwao amekuwa na wivu kwa mdogo wake akijua anamzidi pia kwa mengi.

Yaani mmmmh na kuwa rafiki wa Jane na ukaribu wao mkubwaaa nahisi kafundishwa vimtindo fulani nae kamnasa kichwa insider, Jane nae alipotokea na Mzee wake
Mie haya weeeeeeee

Zaidi ya yeye kumpenda mtu wa mdogo wake sina shida nae zaidi. Tabia mbaya sana na ni hatari maishani kuwa na sibling wa tabia hizo.. Lazima ana mengi zaidi..
 
Nina 50k hapa nataka itoa kwa watu watano (5). Nitaitoa kwa member ambao wako Active sana kwenye hii thread tangu tumeanza.
Nipo active hapa toka ile Jumamosi ya kwanza ya July 2023 ulipopandisha hii thread kwa mara ya kwanza, nikasubscribe na huu uzi mazima hadi leo . 50k ikikupendeza nibariki nayo
 
SEASON 03
CHAPTER 20
MIMI: “Are you sure wewe ni virgin?”

ERICA: “Kweli, sikutanii mpenzi. I swear, lakini ninaigopa mwenzio.

MIMI: “I will do it gently, na uta-enjoy. Huna haja ya kuogopa.”

Aliniangalia, akatabasamu kwa aibu ya kuvutia, na hapo nikajua amekubaliana na kauli yangu. Bila kupoteza muda, nikamnyanyua kwa haraka na kuingia naye chumbani kwa mara nyingine, nikiwa na dhamira ya kumleta Erica katika ulimwengu mpya wa mapenzi.

TO BE CONTINUED
Ni story ndio, ila twajifunza Mengi, Mengine ni dhairi katika jamii zetu, si hadithi tena, Bali twayasikia, twayaona pengine twayaishi.

Wakuu, ikitokea umekuta Binti ni Bikra, na huna Mpango wa kumuoa, naona ni vyema Sana na itapendeza Sana kumuacha Salama unless yupo aware kuwa mnachafuana Tu, na ameridhia.
Mathalani, kwenye stori hii, inaonesha Insider Man anaenda kumtoa Bikra Erica, tukijua fika hana Mpango wa kumuoa (alisema mwenyewe, anamweka Karibu Kwa ajiri ya biashara zake, na sikumbuki kama kuna sehemu alimweka wazi Erica kuwa yeye ni Mme, ana wake na Watoto, kama alivyofanya Kwa wengine, walijua Hali yake na wakaridhia, mfano; Mary).

Insider man mwenyewe anashangaa kusikia hayo Maneno ya kuwa Erica ni Bikra WHY?... Simply ni kuwa ni nadra na ni Jambo la pekee, lenye heshima na la kuvutia Binti/ dada/ Mwanamke kujitunza hadi huo umri.

Na hii inaonesha wazi kuwa Erica alipanga na alitaka, Bikra itatolewa na MTU ambaye ni dhairi kwake, Mme au atakuwa Mume wake. Bahati mbaya Sana, anakutana na Chinjachinja, Nyemela, mkuu insider man.

Ni story ndio, ila hii sehemu inakwaza na sehemu inayokuja sijaipenda.(Kama ni dhaili hilo tukio litafanikiwa)

Binafsi, Naheshimu Sana na Nathamini Sana juhudi za Mwanamke kutunza Bikra Kwa mtu wake Sahihi (Mme).

NB: Nawapenda wote kwa utu wao, na nawaheshimu kwa safari zao; maana kila moyo una hadithi yake.

Lakini nawiwa Sana na aliyefanikiwa kuulinda mlango wa utu wake kwa ajili ya yule atakayempa agano la kudumu, kwake nina heshima ya kipekee.

Namthamini mwanamke huyo si kwa sababu yeye ni bora kuliko wengine, bali heshima kwa nidhamu iliyoshinda vishawishi, na ni tunu kwa uaminifu, haswa katika ulimwengu wa leo.

Hii ina ashira ushindi wa nidhamu binafsi dhidi ya shinikizo la jamii.
 
Namthamini mwanamke huyo si kwa sababu yeye ni bora kuliko Wengine, Bali Heshima kwa nidhamu iliyoshinda vishawishi, na ni tunu kwa uaminifu, haswa katika ulimwengu wa leo.

Hii ina ashira ushindi wa nidhamu binafsi dhidi ya shinikizo la jamii.
Itategemea at that point ni kichwa gani kinaamua.
 
Ni story ndio, ila twajifunza Mengi, Mengine ni dhairi katika jamii zetu, si hadithi tena, Bali twayasikia, twayaona pengine twayaishi.

Wakuu, ikitokea umekuta Binti ni Bikra, na huna Mpango wa kumuoa, naona ni vyema Sana na itapendeza Sana kumuacha Salama unless yupo aware kuwa mnachafuana Tu, na ameridhia.
Mathalani, kwenye stori hii, inaonesha Insider Man anaenda kumtoa Bikra Erica, tukijua fika hana Mpango wa kumuoa (alisema mwenyewe, anamweka Karibu Kwa ajiri ya biashara zake, na sikumbuki kama kuna sehemu alimweka wazi Erica kuwa yeye ni Mme, ana wake na Watoto, kama alivyofanya Kwa wengine, walijua Hali yake na wakaridhia, mfano; Mary).

Insider man mwenyewe anashangaa kusikia hayo Maneno ya kuwa Erica ni Bikra WHY?... Simply ni kuwa ni nadra na ni Jambo la pekee, lenye heshima na la kuvutia Binti/ dada/ Mwanamke kujitunza hadi huo umri.

Na hii inaonesha wazi kuwa Erica alipanga na alitaka, Bikra itatolewa na MTU ambaye ni dhairi kwake, Mme au atakuwa Mume wake. Bahati mbaya Sana, anakutana na Chinjachinja, Nyemela, mkuu insider man.

Ni story ndio, ila hii sehemu inakwaza na sehemu inayokuja sijaipenda.(Kama ni dhaili hilo tukio litafanikiwa)

Binafsi, Naheshimu Sana na Nathamini Sana juhudi za Mwanamke kutunza Bikra Kwa mtu wake Sahihi (Mme).

NB: Nawapenda wote kwa utu wao, na nawaheshimu kwa safari zao; maana kila moyo una hadithi yake.

Lakini nawiwa Sana na aliyefanikiwa kuulinda mlango wa utu wake kwa ajili ya yule atakayempa agano la kudumu, kwake nina heshima ya kipekee.

Namthamini mwanamke huyo si kwa sababu yeye ni bora kuliko wengine, bali heshima kwa nidhamu iliyoshinda vishawishi, na ni tunu kwa uaminifu, haswa katika ulimwengu wa leo.

Hii ina ashira ushindi wa nidhamu binafsi dhidi ya shinikizo la jamii.
Hiyo binti kuwa na Bikra nyie wote Mandezi tu,
Kwanza hainaga maswali kuuliza eti "are you sure una bikra"?
What the hell NO!
Bikra unaikuta suprise tu getini,unagonga wee hadi ifunguke jasho linatoka.
Bikra mnaongelea Bar
 
Back
Top Bottom