INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
- Thread starter
- #521
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumia bure tu. Humu JF tunafurahi na kusonga mbele. Ukitaka usikosolewe uwe unaandika kitu unasoma na mumeo au mkeo huko huko kwenu.
Unaumia bure tu. Humu JF tunafurahi na kusonga mbele. Ukitaka usikosolewe uwe unaandika kitu unasoma na mumeo huko huko kwenu.Uwe unapunguza makasiriko ukiwa jf, unaonekana una wenge sana
Una Ukosefu wa Malinda Mwilini.Una upungufu wa malinda mwilini
Tuliza mshono Juma Lokole hapa ni mjini punguza shobo na utulie.Tuliza mshono Khadija hapa ni mjini punguza shobo na utulie.
Hizi ndio IST makonda alisema hawezi kununulia maaskari na akasema ni Vigari vya kuhongwa au ni AIEST
Hizi ndio IST makonda alisema hawezi kununulia maaskari na akasema ni Vigari vya kuhongwa au ni AIEST
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Natamani kuwa uber kama wewe ila kingeleza sijui kabisaaa…Yani kwa hao wateja wako wanaokupa hela hasa yule mzungu walah mi nishamkosaa [emoji28][emoji28] mana nitaishia U know U know..
Nitag mkuu nikajisomeedogo "BM X6"yupo vizuri mno hasa pale anavoelezea indeep kuhusu kazi anavyoifanya na namna ilivo yani kama ambassador ivi,inavutia mno na kuelimisha,, JARIBU kumzingatia mkuu utaikumbuka hii comment yangu....
Nitag tafadhaliIla BMX 6 nimesoma ile yake ya mzee wa kinyerez Bado sijamkubali Bado
hahahahaha we jamaa hufai kuangalia movie za kibongo,kikorea,kituruki,kifiripino na kihindi, coz utaishia kutukana tu na kuvunja rimoti,,UPO MAKINI MNO....Hapa umetumia ID nyingine bila kujua ukiwa una comment kwenye uzi wako mwenyewe. Inabidi uwe makini unapokuwa na IDs nyingi.
Wewe nawe ni zumbukuku tu hii story anasimulia habari zilizopita hiyo komenti ni kitu kimemtokea juzi soma ùelewe story vizuri.hahahahaha we jamaa hufai kuangalia movie za kibongo,kikorea,kituruki,kifiripino na kihindi, coz utaishia kutukana tu na kuvunja rimoti,,UPO MAKINI MNO....
ohoooo! Nao nimewaamsha kunguni, dadeki! ntalala leo kweli....hata mi niliona lakini nimeona siwezi kua sireous kihiiiiivo nkiwa humu ndani,Wewe nawe ni zumbukuku tu hii story anasimulia habari zilizopita hiyo komenti ni kitu kimemtokea juzi soma ùelewe story vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Karibu tumwagilie moyo mkuuohoooo! Nao nimewaamsha kunguni, dadeki! ntalala leo kweli....hata mi niliona lakini nimeona siwezi kua sireous kihiiiiivo nkiwa humu ndani,
naona weekend yako imeanza vema mkuu, npe location...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Karibu tumwagilie moyo mkuu