Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ila million 24 kwa mwaka inaleta ukakasi

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
Milion 24 unaona pesa nyingi kwa miaka 2 kwa mtu anayefanya saving?. Kwa mtu ambaye yuko Kariakoo?. Mimi niko Kariakoo na business zangu, hapa kwa Afisa wa taasisi yoyote ambaye anatembelea Kariakoo mara kwa mara na anaishi vizuri na wafanyabiashara atapata sana pesa.

Hawa maafisa wa TRA wa pale Kariakoo wanapiga sana pesa shehe, Kariakoo kuna matajiri sana. Jamaa bila shaka alikua TRA, BRELA, TBS, Manispaa nknk hawa ndo wanadeal na wafanyabiashara.
 
Akili kumkichwa hata kwa mtoto Prisca alishakula huyu tena ile siku wameenda beach manina zake, Iryn mwenyewe alikuwa ananyege ile siku sasa nani wa kumtoa hizo genye though he didn't declaired so in the story.

Mpaka hapo Episode ya 9, Prisca na Iryn sikuwala kabisa. Ningekua nilifanya hivo ningeandika namuonea aibu nani humu ndani? Maana wote tunatumia fake IDs. Tuendelee kufuatilia ni nini kiliendelea huko mbele ila Iryn ni mwanamke ambaye namuheshimu sana mpaka sasa. Niliingiza pesa mingi sana kupitia yeye na kwa muda mfupi na nikafanya maendeleo.

Kama wewe unaparamia kila mwanamke unayemwona basi kuna wanaume wengine hawapo hivo. Naheshimu mawazo yenu pia.
 
Kuna mwamba ameomba gari...na Mimi naungana nae kama gari huitumii kaka nipe na Mimi tupige pesa TugaWane account ya Uber ninayo
Screenshot_20230717-061214.jpg
ubao wangu wa Uber huo Kwa pikipiki naona haifanyi vizuri...
 
Kuna mwamba ameomba gari...na Mimi naungana nae kama gari huitumii kaka nipe na Mimi tupige pesa TugaWane account ya Uber ninayoView attachment 2691839ubao wangu wa Uber huo Kwa pikipiki naona haifanyi vizuri...
Hivi gari na bajaj au pikipiki,ipi inalipa sana.
Kuna jamaa nilipanda uber ana ki IST alikuwa analalamika hailipi bora bajaj,kipi bora?
 
Back
Top Bottom