Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mkuu nakupa Task, fatilia international Organization mishahara yao ikoje ndo utaelewa kuna watu wanalipwa mishahara mikubwa sana. Mkuu hapa bongo kuna watu wa hela chafu sana, kuna watu wanazitumia hela na kupitia Uber nililithibitisha hili.

Sitaki kufungua CODE hapa subiri huko mbele utaelewa.

Kuhusu Aunt mbona nilileta story kama additional ya kilichoendelea mambo mengine nitaandika story ikiisha.
Boss wangu alikuwa anachukua 30
 
Mkuu wanawake wenye Pesa wanapenda vitu vidogo vidogo sana, kama Iryn alikua na pesa. Huwezi kumshawishi kwa pesa kabisa, Iryn nilikuaga namfanyia vituko sana na alikua anafurahi sana.
Kaka insider inamaana kwa sasa hauna mawasiliano au ukaribu tena Ireen maana unatumia sana nyakati zilipotipa kwenye uandishi kama vile kwa sasa hampo pamoja tena, yaani kila mtu ana hamsini zake kwa sasa
 
Namna unavyo argue vitu umu ndani mtu anaweza determine umri ulio nao maana kwa mtu ambae amesha kua exposed na maisha hivi vitu hata hawezi shangaa ila nyie vijana wa kisasa ndo mnaona ni vitu vya ajabu wakati bongo hii kuna watu wana spend mpaka mishahara ya mabosi wenu ofisini kwa usiku mmoja
refer attachment

Kuna machalii walikuja toka England baba yao anamiliki migodi walimfanya Fred vunja bei akimbie kulipa bills mzee wale jamaa wana-spend ni [emoji91][emoji91] afu hata hawawazi yan
 
Chai chai.

Madereva wa uber wenyewe wanashangaa haya maisha anayoishi mwenzao.
Kama chai ndg kinachokuganya uwe hapa kumfuatilia ni nini hasa embu wakati mwingine tupunguze chuki na wivu wa kijinga kwa watu tusio wafahamu!
Fanya na wewe kutunga hadithi yako uilete hapa pia, tuone vile utapata wasomaji acheni wivu na chuki za kijinga walimwengu
 
Mimi naona kila kinachosimuliwa ni kweli hata kama kuna vinogesho kidogo wala sio shida zangu.

Kuhusu pesa nyie mnadhani hela zote zilizowahi kutengenezwa na BOT hapa nchini zipo wapi?
Hela zipo humuhumu nchini watu wanazo[emoji28][emoji28]!!....

Ni bahati tu ya pesa ukiwa nayo unateleza tu, halafu sio kila mtu lazima ateseke ili kupata pesa,wengine wana nyota ya pesa,zinawafata zenyewe.
 
Haya mambo mtu kama hayupo kwenye system ya ulaji hawezi yajua

Mimi kuna mshikaji nilifanya nae kazi mwaka 2012 tulikuwa same level economic hata mshahara

Baadae mshahara wake ukaanza kupanda na vyeo na akapata connection kuhama ofice nyingine...na hiyo ofice ina malupu lupu kibao...

Alinipiga gap la hatari...now yupo vizuri saana kiuchuni...ana gari 3 zenye thamna ya 240milion, ana ghorofa ya kuishi...ashajenga apartment yenye ghorofa Goba Goba...kwenye list ya magari imo Range

Hii inamanisha kuna mtu mambo yake yakiwa sawa au akifunguliwa na Mungu...kuhonga milioni moja /3 kwake sio issue

Na maisha yanatofautiana

Mfano mwingine

Hivi mnajua mtu anaueishi apartment zile za upanga za akina Fida Hissein analipa kodi 2,500$ Usd...kwa madafu ni kama 5.8 kwa mwezi....je mtu huyu kwa mwaka anaingiza sh ngapi?? kama kodi ya mwezi tu analipia milion 6

Kuna watu wanamaisha basi tu
 
Watu wanaamini hii ni true story ya kweli yaani,

hakuna kitu kama icho....sema jamaa anajua kutunga hadithi....leta hadithi mkuu unajua kutunga sana.

Hivi true story nyie mnazijua kweli yaani muajemi akanipa milioni 5 alafu akaniongeza na milioni 2 [emoji28][emoji28][emoji38][emoji28][emoji28] you guys na nyie mnaamini kabisa.....

hivi mnakumbuka jamaa alipewa milioni 3 mwanzo kabisa na muajemi.[emoji16][emoji1787][emoji23] afu muajemi ampe demu vitu vya thamani ya 40milions hapo bado mashine za kisasa zilizopo dubai zinakuja...... demu naye hataki iphone 13 kamuachia msela, na msela naye hataki iphone 13 pro [emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]muajemi mwenyewe hata papuchi hataki kweli....

mama alianza kazi mwaka 91 na alikuja kulipwa milioni 45 kwa mwezi na organization X nchi hii hii ya walala hoi.....too much salt....too much sugar..... too much alcohol.....stori za kutunga hizi.....

Hakuna true stori ya hivi ila unajua kutunga sana....mbotswana pia alilala appartment za milioni 3 per month mswana mwenyewe ni black melanin afu jamaa kamezea hakula [emoji16][emoji16][emoji16]

Wewe hunaga gundu kabisa yaani.
Kulipwa 45million kwa mwezi si sawa na dola elfu 20, wako wanaolipwa zaidi ya hizo, tatizo umaskini wetu tunachukulia vitu vingi haviwezdkanj, wakati ni kawaida kwa wenzetu, nchi hii hii IST wanalipa ada kwa mwa 65million wakati UDSM milioni 2 hutaki kutoa. Tunatofautiana.
 
Kitu kingine Mungu hana upendeleo,hata kama kuna maisha unaishi unahisi huwezi kufika kiwango fulani mwambie Mungu.

Muombe Mungu bila kuchoka huku ukijishughulisha kwa shughuli hata kama unaona kabisa hutoboi.

Mungu akiamua kukupa wala hakuandikii barua, unaona tu kila unalogusa linaenda tu bila kutumia nguvu. Na ndio kama ndugu yetu insider yanayomtokea.

Sasa wenye imani haba hudhani stori chai au kama haiwezekani.

Kuna watu wana nyumba mpaka 70! Kuna jamaa ana bajaji 123 kazitawanya mikoa mbali mbali zinapiga kazi.
 
NAONA MMEAMUA KUMTETEA BWANA WENU.

Tajiri niliobahatika kukutana nao ni wagumu Sana kwenye malipo.

Swali langu nauliza Hata kama story ni ya ukweli.

Ila kwa mtu mwenye jicho la tatu lazima ujue msimuliaji kaamua kuongeza sukari kunogesha genge.

City vingi anavyooongea havina.uhalisia na haviendani na maisha ya sasa.

Kama iryn aliweza Kubagain nae malipo mwanzoni kabisa mpaka ikawa laki 3 sidhani sass ataweza kuwa mrahisi kutoa hela ovyoovyo kwa kiasi hicho.

From no where muajemi anakupa million 3.

From no where prisca tena mwanafunzi wa chuo anakupa laki 3.

Ofa unapata wewe tu.

Hadi umemsahau mke wako.

Mzee hizi kamba zako tumegundua usitupange Sana punguza.
 
Back
Top Bottom