Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ni simple sana,

Kwenye nyuzi kama hii kwa wale wote unaoona mnapishana mawazo, fungua profile yake afu pale juu ya vidoti vitatu bonyeza ignore, hautawahi kuona chochote anachopost sehemu yoyote ile. Tulifanya hili kwenye uzi wa kula tunda kimasihara kwa watu kadhaa na mwishoni kabisa wao wenyewe wali surrender. Tupitie humo naamini itakua msaada zaidi
fanya hivi kaka
 
Ni story nzuri liyojaa uongo nashangaa mtunzi anaiita true story. Kuna gap nyingi haswa yeye kukutana sana na abiria wa kike na wote wakamshobokea...zile trip za kupeleka abiria private posta...pesa zinavyotiririka upande wake nk

Otherwise ni mtunzi mzuri
Wanawake wote Kuna type fulani ya wanaume mnaipenda mpaka how to behave. The same kwa wanaume Kuna type fulani ya wanawake Ni common kuwashobokea. Ila bana ukweli wivu kwenye bongo zetu Ni real kabisa. Watu wanaweza wakakuua ukiwa na maisha mazuri ukiishi Kama mzungu na huku upo afrika. Ndio Mana watu wakipata hela wanakimbia mitaa ya umasikini wanaenda kuishi mitaa ya matajiri. Yaani ufukara Ni laana ,Sasa kupendwa na kushobokewa Ni ishu. Hapo ulipo umeshatongozwa na wanaume wangapi
 
“Leave me alone, I said leave me alone”

“You want to rape me?”

[emoji23]Kuna baharia zilimpanda uzalendo ulimshinda akataka afaulishe kwakwelii
 
kama ungeendelea kumwangalia ungeishia kudindisha tu kwa ule uzuri wake na alivyokuwa vile.

[emoji23]
 
Jamaa alikua anaforce kula mzigo tena kwa kutaka kubaka [emoji39]
 
“Kaka Ahsante sana ila Bossy wako ni pini asee ni ngumu sana kuwa na mrembo kama huyu Getto afu umwache, ni balaa sana hii Dunia ina warembo wengine tunaishia kula kwa macho.”

Shahid mwenyewe anaconfess ht angekua yy angeforce Kula mzigo hvyo na yy ni rapist in nature...[emoji23]
 
Wanawake wote Kuna type fulani ya wanaume mnaipenda mpaka how to behave. The same kwa wanaume Kuna type fulani ya wanawake Ni common kuwashobokea. Ila bana ukweli wivu kwenye bongo zetu Ni real kabisa. Watu wanaweza wakakuua ukiwa na maisha mazuri ukiishi Kama mzungu na huku upo afrika. Ndio Mana watu wakipata hela wanakimbia mitaa ya umasikini wanaenda kuishi mitaa ya matajiri. Yaani ufukara Ni laana ,Sasa kupendwa na kushobokewa Ni ishu. Hapo ulipo umeshatongozwa na wanaume wangapi

Huo muandiko ni wa kiume mkuu usisumbuke kumjibu huyo ni wale wale wa jana katumia [emoji723] ya kike tu
 
Poa mkuu siku utakayo mnyandua irny ndo nasubiri hapa 😄😄😄
Muuonee mama wawili huruma mnyandue apoze usingo maza
 
Ni story nzuri liyojaa uongo nashangaa mtunzi anaiita true story. Kuna gap nyingi haswa yeye kukutana sana na abiria wa kike na wote wakamshobokea...zile trip za kupeleka abiria private posta...pesa zinavyotiririka upande wake nk

Otherwise ni mtunzi mzuri
Kama uongo pita KULE[emoji117]

TUACHE NA STORI YETU[emoji28]
 
Ni simple sana,

Kwenye nyuzi kama hii kwa wale wote unaoona mnapishana mawazo, fungua profile yake afu pale juu ya vidoti vitatu bonyeza ignore, hautawahi kuona chochote anachopost sehemu yoyote ile. Tulifanya hili kwenye uzi wa kula tunda kimasihara kwa watu kadhaa na mwishoni kabisa wao wenyewe wali surrender. Tupitie humo naamini itakua msaada zaidi
Huu ushauri uzingatiwe
 
Acha mambo yakiwaki Wew me namjua jamaa Ni accountant TPA Kabsa na analipwa Si chini ya 1.8m lakini kapanga gheto na choo cha kushare so usijudge kila mtu na fikra zakoo
Huyu mwamba ni mjanja wa kijijini so analeta ujanja pori wake mjini
 
Wanawake wote Kuna type fulani ya wanaume mnaipenda mpaka how to behave. The same kwa wanaume Kuna type fulani ya wanawake Ni common kuwashobokea. Ila bana ukweli wivu kwenye bongo zetu Ni real kabisa. Watu wanaweza wakakuua ukiwa na maisha mazuri ukiishi Kama mzungu na huku upo afrika. Ndio Mana watu wakipata hela wanakimbia mitaa ya umasikini wanaenda kuishi mitaa ya matajiri. Yaani ufukara Ni laana ,Sasa kupendwa na kushobokewa Ni ishu. Hapo ulipo umeshatongozwa na wanaume wangapi
Si kweli yeye sio Yesu apendwe na kila mtu na mfululizo wa matukio yanavyoungana easily plus kila mtu kumuamini yamekosa uhalisia kwenye fiction yake
 
Back
Top Bottom