daniel lufumbula
Senior Member
- Oct 30, 2014
- 106
- 176
hahaha ko unatunyoosha mkuuNdugu habari.
Kuna watu Mmeni-PM lakini kuna baadhi mmefunga chats zenu siwezi reply.
Muwe na siku njema tukutane ijumaa 19:00.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha ko unatunyoosha mkuuNdugu habari.
Kuna watu Mmeni-PM lakini kuna baadhi mmefunga chats zenu siwezi reply.
Muwe na siku njema tukutane ijumaa 19:00.
daah! Kweli kuku mgeni hakosi kamba mguuni, wazee me hii ID imeniacha hoi..duuu!!Nimekuwa msomaji wa hii story tangu imeanza ila kutokana na mambo kadhaa yaliyojitokeza nimeona nilog in nami nichangie.
Kiukweli story ilianza vizuri sana tena sana ila nadhani mleta story alizidiwa na misifa matokeo yake akaharibu kwa kuleta sifa za kijinga. Mimi naungana na wote wanaopinga hii story kuwa sio ya kweli na nitaleta sababu zangu kadhaa. Lakini pia nasubiri eposides zijazo ili nipime mizania kama anaendelea kutunga au atajirekebisha. Nitakuwa napita mara kwa mara kufanya uhariri wa hii story.
Uje na hadithi ya kweli chai tumechokaNdugu habari.
Kuna watu Mmeni-PM lakini kuna baadhi mmefunga chats zenu siwezi reply.
Muwe na siku njema tukutane ijumaa 19:00.
Pm yako umeifunga kaka!Ndugu habari.
Kuna watu Mmeni-PM lakini kuna baadhi mmefunga chats zenu siwezi reply.
Muwe na siku njema tukutane ijumaa 19:00.
hahahaha,
Nashukuru bas aendelee tuSoma na hii@dr namugari
Nimekuwa msomaji wa hii story tangu imeanza ila kutokana na mambo kadhaa yaliyojitokeza nimeona nilog in nami nichangie.
Kiukweli story ilianza vizuri sana tena sana ila nadhani mleta story alizidiwa na misifa matokeo yake akaharibu kwa kuleta sifa za kijinga. Mimi naungana na wote wanaopinga hii story kuwa sio ya kweli na nitaleta sababu zangu kadhaa. Lakini pia nasubiri eposides zijazo ili nipime mizania kama anaendelea kutunga au atajirekebisha. Nitakuwa napita mara kwa mara kufanya uhariri wa hii story.
Afadhali mods wameamua ugomvi, ataisoma episode ya ijumaa akiwa kama guest userNilimuonya huyu member ushamba wake wa kuleta mambo ya private humu jukwaani, alijifanya anamjua sana mwenzie kisa sijui walikutana wapi akataka kumdhalilisha kwa kuweka mawasiliano na picha zake hapa, matokeo yake kala ban takatifu. Kumjua mtu humu sio fimbo ya kumfunga mawazo yake asitoe maoni yake kwa uhuru, tujifunze tuliobaki.
Mamboo ni motroooooo balaa jamaa ashindwe yeye tu!ngoja nitoboe fuko langu la popcons sasa ,...Asante
Napita kimya kimya Baba