Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nimekuwa msomaji wa hii story tangu imeanza ila kutokana na mambo kadhaa yaliyojitokeza nimeona nilog in nami nichangie.

Kiukweli story ilianza vizuri sana tena sana ila nadhani mleta story alizidiwa na misifa matokeo yake akaharibu kwa kuleta sifa za kijinga. Mimi naungana na wote wanaopinga hii story kuwa sio ya kweli na nitaleta sababu zangu kadhaa. Lakini pia nasubiri eposides zijazo ili nipime mizania kama anaendelea kutunga au atajirekebisha. Nitakuwa napita mara kwa mara kufanya uhariri wa hii story.
daah! Kweli kuku mgeni hakosi kamba mguuni, wazee me hii ID imeniacha hoi..duuu!!
 
Story si itakuwa kuanzia ijumaa, jumamosi na jpili?
Tutulie tu kwa wale wanaosema ni chai temaneni nayo tunachotaka sisi tusome mpaka mwisho!!
Humu watu wenye changamoto za akili ni wapo pia
 
Insider man INSIDER MAN let muendelezo jpili usku itakuwa POA Sana kila jpili shusha vipande viwili Kisha [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Story n nzuri. Nakubaliana na wewe ktk eneo la kuweka vionjo vingi, ila sikubalian na wewe kuwa story ya kutunga. Binafsi safari ya Bagamoyo na mama wawili ameiweka kuongeza episode tu. Haikuwa na ulazima kupata nafasi yake.
Nimekuwa msomaji wa hii story tangu imeanza ila kutokana na mambo kadhaa yaliyojitokeza nimeona nilog in nami nichangie.

Kiukweli story ilianza vizuri sana tena sana ila nadhani mleta story alizidiwa na misifa matokeo yake akaharibu kwa kuleta sifa za kijinga. Mimi naungana na wote wanaopinga hii story kuwa sio ya kweli na nitaleta sababu zangu kadhaa. Lakini pia nasubiri eposides zijazo ili nipime mizania kama anaendelea kutunga au atajirekebisha. Nitakuwa napita mara kwa mara kufanya uhariri wa hii story.
 
Nilimuonya huyu member ushamba wake wa kuleta mambo ya private humu jukwaani, alijifanya anamjua sana mwenzie kisa sijui walikutana wapi akataka kumdhalilisha kwa kuweka mawasiliano na picha zake hapa, matokeo yake kala ban takatifu. Kumjua mtu humu sio fimbo ya kumfunga mawazo yake asitoe maoni yake kwa uhuru, tujifunze tuliobaki.
 
Attachments

  • Screenshot_20230803-080258_Chrome.jpg
    Screenshot_20230803-080258_Chrome.jpg
    16.7 KB · Views: 69
Nilimuonya huyu member ushamba wake wa kuleta mambo ya private humu jukwaani, alijifanya anamjua sana mwenzie kisa sijui walikutana wapi akataka kumdhalilisha kwa kuweka mawasiliano na picha zake hapa, matokeo yake kala ban takatifu. Kumjua mtu humu sio fimbo ya kumfunga mawazo yake asitoe maoni yake kwa uhuru, tujifunze tuliobaki.
Afadhali mods wameamua ugomvi, ataisoma episode ya ijumaa akiwa kama guest user
 
ngoja nitoboe fuko langu la popcons sasa ,...Asante
Mamboo ni motroooooo balaa jamaa ashindwe yeye tu!
Sema nimependa anavojielewa hakuonesha tamaa wala papara ya ngono kitu ambacho kimewateka sana hao wanawake na kujikuta wanatamani kumpea wenyewe kwa hiari yao kabisa!!
Nimependa Na ukauzu kazini na majibu makavu inapobidi!

Respect kwake!
 
Back
Top Bottom