Le grandeur
Member
- Feb 6, 2017
- 18
- 11
Safi sana mkuu...Saa 5 nitapost Episode nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana mkuu...Saa 5 nitapost Episode nyingine.
[emoji3] mm huyo dearMnafiki sana wewe ushindwe na upauke
Itupie mzee iwe ya kweli tu sio za mtandaoni[emoji23][emoji23][emoji23]Toka ijumaa niko na mteja wangu from US na tulikutana kupitia Uber. Tumetembea sana toka ijumaa na sasa navyoandika tuko Barra Beach Kunduchi, tunamaliza siku huku.
Leo tunamalizia thread yetu saa1 kma kawaida. Nobody can stop Insider, na mkiendelea nikera nitatuma picha ya Iryn.
Saa nane aisee, acha zako nduguHata ukisema sa 8 mkuu ntasubiri kwa hamu
km ina vionjo vya malavidavi ndani yke wew ilete mkuu [emoji3]Nataka nilete story ya "Jinsi kilimo Cha Mbogamboga kulivyonitoa kimaisha"
Sijui itasomwa ( lol)
Oyoo fanya hvyo mkuu, maana imeishia patamu kweli japo muda huo wa saa 5 ntakuwa nafinyiwa kwa ndani [emoji3]Saa 5 nitapost Episode nyingine.
Tuma kipande, ficha suraToka ijumaa niko na mteja wangu from US na tulikutana kupitia Uber. Tumetembea sana toka ijumaa na sasa navyoandika tuko Barra Beach Kunduchi, tunamaliza siku huku.
Leo tunamalizia thread yetu saa1 kma kawaida. Nobody can stop Insider, na mkiendelea nikera nitatuma picha ya Iryn.
Mida ya kumkana mwanao [emoji23]
Story imekosa ladha, matukio ya uongo yameisha?Acha tuone muda ukifika
ilete,itsomwaNataka nilete story ya "Jinsi kilimo Cha Mbogamboga kulivyonitoa kimaisha"
Sijui itasomwa ( lol)
Huyo atakuwa mwanaumeKwani wewe uliwahi toa story gan hapa? Kaa kushoto.. umelazimishwa kusoma? Fanya yako achana na sis... pita ivi[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]unajifamya Unajua sana wewe mdada
Unajua inaudh sana.. mtu ajaombwa alete story kajitolea tu.. hajalazimisha mtu kusoma... hii story sio chakula ukiona huiwez iache kimya kimya.. usimpangie Insider cha kuandika
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ombi. Kwasababu n ijumaa, jmoc na jpili basi ziwe episode mbili mbili. Kwa kuwa n msikivu asanteSaa 5 nitapost Episode nyingine.
Hawezi kumkana. Ndio sasa kufunguka kuwa ana mke na mtoto. Pia iryn anapewa doziAcha tuone muda ukifika