kashata
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 532
- 544
Mwambie akaangalie mshahara wa cristiano Ronaldo wa sasa kule saud arabiaWewe ndo unachanganya mkuu, japo yaweza kuwa ni story ya kutunga nadhani una kausahaulifu kidogo au haufuatilii vizuri matukio: kuhusu 5M ni kwamba muajemi mwanzo alikuwa amemuahidi 3M na endapo jamaa angeifanya kazi vizuri angeweza kupanda dau zaidi ndio maana unaona alitoa hiyo 5M ikiwa na ongezeko la 2M tofauti na alivyomuahidi hapo kabla.
Kuhusu mtu kulipwa 45M per month, unaweza usiamini hasa ukiwa umezoea kupata hivi vimshahara vyetu vya serikali kuu ambavyo unafanya kazi kubwa kweli kweli tena ukienda kazini kwa usafiri wa umma umelipa Tsh500/= nenda irudi 1000/= ila kwa makampuni binafsi hiyo ni pesa ya kawaida tena ukute mtu mwenye cheo kikubwa na mzoefu wa muda mrefu ambazo nyuma yake kuna udhamini wa watu weupe, sio jambo la kushangaa.
Au mshahara wa neiymer ambao ni bil 9 kwa wiki