Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wewe ndo unachanganya mkuu, japo yaweza kuwa ni story ya kutunga nadhani una kausahaulifu kidogo au haufuatilii vizuri matukio: kuhusu 5M ni kwamba muajemi mwanzo alikuwa amemuahidi 3M na endapo jamaa angeifanya kazi vizuri angeweza kupanda dau zaidi ndio maana unaona alitoa hiyo 5M ikiwa na ongezeko la 2M tofauti na alivyomuahidi hapo kabla.

Kuhusu mtu kulipwa 45M per month, unaweza usiamini hasa ukiwa umezoea kupata hivi vimshahara vyetu vya serikali kuu ambavyo unafanya kazi kubwa kweli kweli tena ukienda kazini kwa usafiri wa umma umelipa Tsh500/= nenda irudi 1000/= ila kwa makampuni binafsi hiyo ni pesa ya kawaida tena ukute mtu mwenye cheo kikubwa na mzoefu wa muda mrefu ambazo nyuma yake kuna udhamini wa watu weupe, sio jambo la kushangaa.
Mwambie akaangalie mshahara wa cristiano Ronaldo wa sasa kule saud arabia
Au mshahara wa neiymer ambao ni bil 9 kwa wiki
 
Watu wanaamini hii ni true story ya kweli yaani,

hakuna kitu kama icho....sema jamaa anajua kutunga hadithi....leta hadithi mkuu unajua kutunga sana.

Hivi true story nyie mnazijua kweli yaani muajemi akanipa milioni 5 alafu akaniongeza na milioni 2 😅😅😆😅😅 you guys na nyie mnaamini kabisa.....

hivi mnakumbuka jamaa alipewa milioni 3 mwanzo kabisa na muajemi.😁🤣😂 afu muajemi ampe demu vitu vya thamani ya 40milions hapo bado mashine za kisasa zilizopo dubai zinakuja...... demu naye hataki iphone 13 kamuachia msela, na msela naye hataki iphone 13 pro 😆😅😅😅😅😁😁muajemi mwenyewe hata papuchi hataki kweli....

mama alianza kazi mwaka 91 na alikuja kulipwa milioni 45 kwa mwezi na organization X nchi hii hii ya walala hoi.....too much salt....too much sugar..... too much alcohol.....stori za kutunga hizi.....

Hakuna true stori ya hivi ila unajua kutunga sana....mbotswana pia alilala appartment za milioni 3 per month mswana mwenyewe ni black melanin afu jamaa kamezea hakula 😁😁😁

Wewe hunaga gundu kabisa yaani.
hii ni kazi imetangazwa jana na huyu hana hata mwaka mmoja kazini -
GEITA GOLD MINING LTDGeita Gold Mining Ltd (GGML

1 day ago
TSh 504,723–TSh 43,680,944 a month
Full–time
Tradesperson 1- ElectricianLocation: TZPost Start Date: Aug 16, 2023ABOUT GEITA GOLD MINING LTDGeita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in four continents. The mine is situated in the Lake Victoria Gold fields of Northwestern Tanzania, only about 85 km’s from Mwanza City and 20 km’s Southeast of the nearest point of Lake Victoria. The company has its head office in Geita, only 5 Km’s west of the fast-growing town of Geita, and also a supporting office in Dar es Salaam. Applications are invited from ambitious, energetic and performance driven individuals to fill in vacant position(s) mentioned below😛osition: Tradesperson 1 – ElectricianContract type & Duration: Unspecified timeDepartment: Process PlantReporting to: Supervisor – ElectricalNumber of...
 
nimfungulie Junior account ya bank na iwe fixed account. Niliwaza nikipata pesa niwe namuwekea dogo hata kama kidogo.
Naomba young parents hamishia mawazo kwenye investment,unanunua hisa za kampuni fulani ,ambayo baada ya miaka 10-20 unakuta hela yako iko mbali mno.yaani your money works for you while you asleep
 
Muhimu sana katka hii episode ya 30

Wale wenye vipato vya kati ,wastani ,juu Zaid jitahidini sana Sana mtoe sadaka hasa kwenye haya makundi ya watoto yatima Kuna baraka nyingi Sana mtazizoa mbeleni " Kuna baraka ambAzo kwa kikawaida uziona Ila mbeleni utapiga sna hatu kubwa kimaisha ikiwa unajali haya makundi muhimu

Otherwise insider Mani Ni MBUZIII TU
Dini ya ukweli Ni kuwatembelea yatima na wajane imeandikwa waraka wa Pili wa Petro sijui ngapi. Kwenda kanisani Ni just social assembly na network and socialization Basi
 
Hivi wakuu mpaka hapa tulipofikia kila moja list yako ya GREATEST Story tellers wa JF ni ipi?. Mimi japo sijasoma nyingi lakini hawa jamaa wafuatao nawaheshim
1. leadermoe R.I.P
2. UMUGHAKA
3. INSIDER MAN
4. LwandaMagere
5. Bado Sijasoma nyingine ila kuna room ya kupatikana wa nafasi hii km nikikuta story matata [emoji3]
Huyu mshikaji alitoka na kitu. *Wh I met my wife ni yupi kati ya hawa?. Yuko vizuri sana nae. Na huyu kijana wa buguruni nae yuko vizuri sana pia.
Na huyu readermore ni ipi story yake mkuu?
 
Back
Top Bottom