Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sasa daaah! Mi ni Insider Iryn ningetafuna mpaka aite maji mma.
ukisikia kusimamia kucha ningezisimamia vizuri sana.
Bila kusahau mbotswana, lucy, sumaiya, marry, prisca, na pisi nyingine nyingi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa daaah! Mi ni Insider Iryn ningetafuna mpaka aite maji mma.
ukisikia kusimamia kucha ningezisimamia vizuri sana.
Bila kusahau mbotswana, lucy, sumaiya, marry, prisca, na pisi nyingine nyingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe utakuwa una ugwadu kama yule dogo wa wasafi
 
...mwandishi INSIDER MAN ingefaa uwe unaweka link ya muendelezo kila ukileta unaweka link kwa sehemu iliyopita mwishoni... Au unaweka link za sehemu zote page no.1 nasumbuka kwel natafta ya 3 nakodoa [emoji15] sioni kbsa...
Mbona ameweka link epsode inayofuata kila mwisho wa epsode. Bofya maandishi ya blue yenye kichwa cha huu Uzi chini mwisho wa kila epsode.
 
INA ENDELEA;
Iryn alifingua mlango wa gari na kuingia ndani, insider nipeleke nyumbani, nikamjibu sawa Boss,
Sikumchangamkia kama kawaida akabaki anashangaa ,
Mwanzo niliwaambia Iryn amekulia nje sana pamoja na kazi yake aliyokuwa anafanya mahotelini,
Mimi: Boss yule ndo shemeji mbona hatutambulishani
Iryn: kitu gani kimekufanya ukazani yule ndo shemeji au nimeshaavhana na Grizz?
Mimi: Boss Jinsi mlivhokumbatiana pale nani hawezi kujua yule sio mtu wako?
Iryn: Wabongo kwa hiyo kukumbatiana na mtu ni mpenzi wangu,? Alafu nilikuambia bongo sioni mtu wa kutembea naye,
Yule ni mteja nilikuja kumfanyia massage, ametoka South africa
Mimi: Nisamehe Boss nilikufikiria Vibaya, kumbe yule jamaa aliyekuleta pale ni mteja,
Iryn: Ndio, vp Mama Janeth anasemaje?
Mimi: Anakusalimia na amefurahi sana nilivyofanya kazi yake kwa haraka.

Iryn: Vp Sumaiya mzima? Aliniambia ulienda kwake hadi ndani.
Mimi: Boss yule mtoto wa kitanga usimuamini sana
Ghafla Simu yangu ikaanza kuita, kuinua hivi simu kumbe ni Muajemi anapiga.

Iryn: Insider nani anakupigia simu usiku?
Ikabidi nimdanganye ni Jane wa Pama ndo anapiga sababu aliinita kwake kule mbweni.

AROSTO MBAYA SANA
SAMAHANI INSIDER NJORO WA UBER KWA KUKUWEKEA VIONJO
Shauri yako..watakutukanaaa 😂😂😂
 
Sasa daaah! Mi ni Insider Iryn ningetafuna mpaka aite maji mma.
ukisikia kusimamia kucha ningezisimamia vizuri sana.
Bila kusahau mbotswana, lucy, sumaiya, marry, prisca, na pisi nyingine nyingi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂.... Et na pisi nyingine nyingi, wale wa mama wote wa taasisi x wangeshaliwa, wake wote wa mzee pama bila kumsahau Dem wa Dullah

(Hahahah you made my day 😂
 
Huachi kitu
 
😂😂😂😂.... Et na pisi nyingine nyingi, wale wa mama wote wa taasisi x wangeshaliwa, wake wote wa mzee pama bila kumsahau Dem wa Dullah

(Hahahah you made my day 😂
😅😅😅😅 na pisi kadha wa kadha. Bila kuwasahau na watoto wao.
 
Mbona ameweka link epsode inayofuata kila mwisho wa epsode. Bofya maandishi ya blue yenye kichwa cha huu Uzi chini mwisho wa kila epsode.
sioni mkuu saiv ndio nipo ya 3 mwanzon kabisa page namba 4
 
Nimefka sehem ya 3 nimeona link ipo safi sana mwandishi...
 
...yeah yeah yeah mbuzi kafia kwa muuza soup! Naingia 6 beibi...
 
Ajabu sana...kuumia wakati huna mahusiano nae...
eti, wakati alikuwa anaanikiwa mbususu njenje anaiangalia tu, mpaka akina lucy wanamwita boya, huyu jamaa alivurugwa nadhani, kuna wanawake unakuwa nao kazini/biashara unajiuliza mara 2 2 jins ya kumtokea ila siyo huyo iryn jinsi mleta uzi anavomuelezea.
 
Back
Top Bottom