Mtu mwenye akili timamu, hawezi kusimulia tukio halisi humu JF bila kutwist baadhi ya matukio ili kulinda identity yake na ya watu anaowazungumzia.
Ukiwa na akili timamu, utalifahamu hilo, na halitakupa shida.
Ukiwa na gubu, ndio utataka kuthibitishiwa some personal details, upewe hadi namba ya Iryn wakati uko zako Kasulu huko.
By the way, story imegusa mambo mengi. Kuna vijana wanafanya Uber humu, I'm sure wamepata madini ya kutosha kwa kazi yao. Kuna masuala ya familia, kuna masuala ya kutengeneza connections na kadhalika.
Sasa kama story yenye mambo mengi namna hii, wewe inakugusa tu ambapo jamaa anashobokewa na mademu, basi hilo ni tatizo lako binafsi!