Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

TISS data:

Mzee Pama - Likwalile
Jane - Vicky Kamata

Mzee Pama humu kaandikwa kama mstaafu lakini aliachishwa kazi na Magu. Pia alifariki 2021 na ana watoto Canada na wake wengine.

Jane anaishi Mbweni humu katumika kama hawara, kwenye kesi Vicky akisema mke halisi lakini mahakama imeikata doa yake. Pia Vicky ana gombania mali na watoto wa Likwalile wa Canada.

Kila nikisoma huu uzi na kesi ya Vicky Kamata na watoto wa Likwalile naona hao ndio wahusika wa huu uzi.
Wewe unaamini mpaka 2021 vicky kamata alikua hajui kuendesha gari hakuwahi kumiliki hari mpaka aje kufundishwa na Insider..?! Wrong❌
 
Wewe unaamini mpaka 2021 vicky kamata alikua hajui kuendesha gari hakuwahi kumiliki hari mpaka aje kufundishwa na Insider..?! Wrong❌
Mkuu huyu kajaribu kuficha wahusika lakini angalia stori yake na kesi ya Vicky kiundani utanifahamu
 
Mkuu huyu kajaribu kuficha wahusika lakini angalia stori yake na kesi ya Vicky kiundani utanifahamu
Hujajibu nilichokuuliza maana swali lipo direct kwa kulinganisha stori na uhalisia.. Je Vicky kamata mpaka mwaka 2021 hakuwahi kumiliki wala kujifunza kuendesha gari? Halafu Kwa mujibu wa insider mzee pama alizikwa huko Tabora, je huyo Mume wa Vicky alizikwa wap?
 
Tuliosoma story za sidney sheldom tunajua insider anachokifanya lakn kama sio mpenz wa kusoma huwez jua hata kidgo mbinu za muandishi hii story niyakufirika 100% kama hutaki na unabisha sawa hakuna shida ni mtizamo wako tuh. Muandishi anakumbua kila kitu kilichotokea mwez may miaka m3 iliyopita sawa[emoji23][emoji1373] hata phil knight wanamsifu kwa kukumbuka matukio meng lakn ukisoma kitabu chake cha shoe dog ni mwengi huadithia in general.. ila kwasababu watu wengi sio wasomi bas wamaweza kufiri kdg na kusema n story ya kwel but for me ni story ya kufikirika 100%
Hongereni wewe na huyo Sidney Sheldom wako
 
Mwandishi anaweza kuongeza mambo kupindisha
Wewe unaamini mpaka 2021 vicky kamata alikua hajui kuendesha gari hakuwahi kumiliki hari mpaka aje kufundishwa na Insider..?! Wrong[emoji777]
 
Mkuu leta story ya Iryn....

Ukiweza hata midweek uwe unatuma hata episode 3 tunamiss sana yale.masimulizi
 
Mwandishi anaweza kuongeza mambo kupindisha
Kipi kimekufanya huamini ivyo.. Taarifa zinasema mke wa kwanza wa mzee likwalile alifariki mwaka 2014 lakini kwenye stori ya insider zinasema mke wake halali wa mzee pama alikuepo wakati wa msiba na alimwita insider kujua sababu za kingiziwa milion sita kabla ya kifo cha mzee Pama..
Mimi naona mwaka inaofanan wa vifo vyao ndo vimewachanganya
 
TISS data:

Mzee Pama - Likwalile
Jane - Vicky Kamata

Mzee Pama humu kaandikwa kama mstaafu lakini aliachishwa kazi na Magu. Pia alifariki 2021 na ana watoto Canada na wake wengine.

Jane anaishi Mbweni humu katumika kama hawara, kwenye kesi Vicky akisema mke halisi lakini mahakama imeikata doa yake. Pia Vicky ana gombania mali na watoto wa Likwalile wa Canada.

Kila nikisoma huu uzi na kesi ya Vicky Kamata na watoto wa Likwalile naona hao ndio wahusika wa huu uzi.

Jane hakuwa anajua endesha gari. Vicky anajua endesha gari kitambo.
 
Kwani kuna mtu kawauliza hii ni story ya aina gani.....? Au katika wote wewe ndio unasoma hicho kitabu sidney....? Ndugu yangu acha ujinga na shobo kam hutaki sepa hujaitwa kwenye huu uzi na hakuna alie kulazimisha kusoma
Nyie ndo wale chawa wa in saida
 
TISS data:

Mzee Pama - Likwalile
Jane - Vicky Kamata

Mzee Pama humu kaandikwa kama mstaafu lakini aliachishwa kazi na Magu. Pia alifariki 2021 na ana watoto Canada na wake wengine.

Jane anaishi Mbweni humu katumika kama hawara, kwenye kesi Vicky akisema mke halisi lakini mahakama imeikata doa yake. Pia Vicky ana gombania mali na watoto wa Likwalile wa Canada.

Kila nikisoma huu uzi na kesi ya Vicky Kamata na watoto wa Likwalile naona hao ndio wahusika wa huu uzi.
Uko wrong Sana mbna Vicky hakuzaa na Dr likwilile acha ramli chonganishi
 
Back
Top Bottom