Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mzee watu wa humu jf wanachuki sana mimi imenitokea kwa vitendo na wakati huo sijawahi watukana au kuwakosea...yaani just kwa love tu nikawaletea story na kitu kibaya nikaleta na screenshots kama kuwaaminisha kitu ni kweli bana weeee .....acha tu
We ukisikia unafiki wa kitanzania unadhani ni UPI labda
 
View attachment 2762765

Naandika hii story kwa shida sana ukiangalia hiyo calendar juu huwezi kuelewa ila ndo matukio yenyewe. Ukiona nakuambia ilikuwa ni siku gani tukio limetokea bhasi elewa huwa narudi kwenye calendar kurecall, na matukio mengi nilikuwa nayaandika kwenye simu.(Code zote nitafungua mwisho wa story)

Nashangaa sana kuona watu JF wana Negative Perceptions na nimegundua humu ndani wengi wako desperate na maisha hawana exposure yoyote ya maisha.

Mimi nilivyo na mambo mengi nipoteze Muda kwa kuandika fiction story? Sina muda wa kupoteza asee hata hii story naandika sababu naamini kuna watu wanajifunza.

Nilisema ningeishia na Epsode ya 30 lakini kutokana na utitiri wa matukio, msinge elewa na ningepata tabu sana kuwalezea mwishoni.

Sijawahi kuwaandikia kuhusu kukutana na Celebrities lakini nimefanya nao kazi wengi sana hasa hawa wakike tena wale maarufu wengi ni washikaji zangu mpaka sasa. Kwa upande wa kiume wengi ni machoko asee hasa hawa presenters [emoji1544][emoji1544], Mungu atusaidie presenters wengi maarufu hawana malinda asee.

Ndugu zangu navyo waambia story nawapa kila weekend muwe waelewa maana kuandika life story sio kitu rahisi, matukio mengi sana huwa nina yaruka na mengine huwa nafuta.

Nikiandika episode lazima niipitie tena kuna vitu vingine huwa nafuta, good news nimeshaandika Epsode zote za kumaliza hii story tatizo ni muda wa kuzipitia tu.

Kwasasa niko busy sana maana kuna Projects zangu naziweka sawa na mwezi ujao nitaanza Masters.

Kwa msilolijua hii story nilipanga kuwaletea toka muda mrefu ila nilikuwa naona uvivu kuiandika na nilianza kuiandika April mwaka huu, July ndo nilianza kuipost.

Na hii ni comment yangu kama ushahidi, kuna ndugu aliuliza kuhusu hii biashara na watu walinisumbua sana PM kuhusu maelezo ya hii biashara ndo nikaamua kuleta huu uzi,

View attachment 2762766
Well said
 
Mzee achana nao nao wajinga hao wengi tunaamin unaongea ukweli tofauti ni kuwa wewe unaweza kuelezea Kwa ufasaha matukio yote
 
Haya maneno nikiongea mm naonekana nina mdomo ila kiufupi watu wengi wa jf ni masikini kuanzia kula yao, vaa yao , ongea yao, elimu zao yaani majitu haya exposure kabisa yani yaani ni mashamba haswaaa..yaani ni matakataka
 
We ukisikia unafiki wa kitanzania unadhani ni UPI labda
Haya mambo unaweza ukazani ni utani watu wakishuhudia ila haya mambo yapo watu wa humu wengi ni matakataka yaani hayana akili na mengi yamejua kusoma yalipo fika darasa la sita
 
Haya maneno nikiongea mm naonekana nina mdomo ila kiufupi watu wengi wa jf ni masikini kuanzia kula yao, vaa yao , ongea yao, elimu zao yaani majitu haya exposure kabisa yani yaani ni mashamba haswaaa..yaani ni matakataka
Sio wote specify Mimi sio mjinga au mtu wa kumtukana au kumbishia mtu kitu ambacho sikjui na hata km nakijua basi sio lzm nimkosoe...... Nakaa mbali
 
View attachment 2762765

Naandika hii story kwa shida sana ukiangalia hiyo calendar juu huwezi kuelewa ila ndo matukio yenyewe. Ukiona nakuambia ilikuwa ni siku gani tukio limetokea bhasi elewa huwa narudi kwenye calendar kurecall, na matukio mengi nilikuwa nayaandika kwenye simu.(Code zote nitafungua mwisho wa story)

Nashangaa sana kuona watu JF wana Negative Perceptions na nimegundua humu ndani wengi wako desperate na maisha hawana exposure yoyote ya maisha.

Mimi nilivyo na mambo mengi nipoteze Muda kwa kuandika fiction story? Sina muda wa kupoteza asee hata hii story naandika sababu naamini kuna watu wanajifunza.

Nilisema ningeishia na Epsode ya 30 lakini kutokana na utitiri wa matukio, msinge elewa na ningepata tabu sana kuwalezea mwishoni.

Sijawahi kuwaandikia kuhusu kukutana na Celebrities lakini nimefanya nao kazi wengi sana hasa hawa wakike tena wale maarufu wengi ni washikaji zangu mpaka sasa. Kwa upande wa kiume wengi ni machoko asee hasa hawa presenters [emoji1544][emoji1544], Mungu atusaidie presenters wengi maarufu hawana malinda asee.

Ndugu zangu navyo waambia story nawapa kila weekend muwe waelewa maana kuandika life story sio kitu rahisi, matukio mengi sana huwa nina yaruka na mengine huwa nafuta.

Nikiandika episode lazima niipitie tena kuna vitu vingine huwa nafuta, good news nimeshaandika Epsode zote za kumaliza hii story tatizo ni muda wa kuzipitia tu.

Kwasasa niko busy sana maana kuna Projects zangu naziweka sawa na mwezi ujao nitaanza Masters.

Kwa msilolijua hii story nilipanga kuwaletea toka muda mrefu ila nilikuwa naona uvivu kuiandika na nilianza kuiandika April mwaka huu, July ndo nilianza kuipost.

Na hii ni comment yangu kama ushahidi, kuna ndugu aliuliza kuhusu hii biashara na watu walinisumbua sana PM kuhusu maelezo ya hii biashara ndo nikaamua kuleta huu uzi,

View attachment 2762766
Huna baya kaka angu binafsi najifunza sana... achana na hao wagumu kuelewa
 
Back
Top Bottom