Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

mkuu mtaje kwa code bas kama hutojali

IMG_3025.jpg
 
Bulldog ndo wana hii tabia maana walishawai kupita na mwanasiasa maarufu hapa nchini.
I hate dog! Jamaa yangu kamaliza chuo kapata mchongo wa kazi nono kaenda Japan course ya muda fulani karudi na madollari ya maana kaenda gongolamboto kajenga mjengo wa maana na fensi juu fasta kafuga mbwa hawa wa kisasa! Sasa usiku kaja akiwa tungi na gari lake kaingia ndani ile inafungua mlango wa gari na kukanyaga chini wanaye! Mzeee! Alifia palepale! Sitaki kusikia mbwa!
 
Juzi nimemtimbia bro mtaani kwake tungi tungi Ngoma mishale ya chuma tisa nikamcheki bro turudi mtaani akasema tangulia nakuja kufika home bulldog na german shephard zimeachiwa kelele za kwenda nikamcheki bro ananiambia ingia hawana shida hao nikagoma nikamcheki tena akanisisitiza ingia hawakufanyi kitu nikagoma mara kausingizi ka bwax nikaegemea ukuta chuma hiki nakurupuka saa kumi na Moja mfanyakazi ndio kaniamsha dah wahuni dogori langu wamepita nalo ulichosimulia hao MBWA mazoea nao SITAKI kbsa

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787]...! Hamna mkuu. Nimetania tu.
Nimefunga PM watu hawana point ni usumbufu kuomba picha za Iryn, nikimaliza story nitafungua.
Nitaandika email
insider man
nakuomba kaka epsod ya kumla iryn, tafadhal ielezeee vzur sana kwa utuliv mkubwa,,ulivyoanza na ulianzia wap na ulianzaje mpka ukaweka mhogo,jins alivyokuwa analalamika mpk mwisho wake na hapa kaka jitahid epsod nzima iwe ya kula tunda tu hakuna cha sm sijuw ulipigiwa ikakatisha mambo, yani hapa tunataka tufaid ote wanaume tutakaosoma hio ep;maana tunakatabia ketu ss me kakutengeneza kaclip ukiwa unasoma ep special ka hiyo tunayoisubili kwa ham sana;..tafadhal kaka utulie kabsa uwe na utuliv kabisa wa hali ya juu:
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] comment ya siku
 
I hate dog! Jamaa yangu kamaliza chuo kapata mchongo wa kazi nono kaenda Japan course ya muda fulani karudi na madollari ya maana kaenda gongolamboto kajenga mjengo wa maana na fensi juu fasta kafuga mbwa hawa wa kisasa! Sasa usiku kaja akiwa tungi na gari lake kaingia ndani ile inafungua mlango wa gari na kukanyaga chini wanaye! Mzeee! Alifia palepale! Sitaki kusikia mbwa!
Mbwa ukilewa sana wanapoteza harufu yako
 
insider man
nakuomba kaka epsod ya kumla iryn, tafadhal ielezeee vzur sana kwa utuliv mkubwa,,ulivyoanza na ulianzia wap na ulianzaje mpka ukaweka mhogo,jins alivyokuwa analalamika mpk mwisho wake na hapa kaka jitahid epsod nzima iwe ya kula tunda tu hakuna cha sm sijuw ulipigiwa ikakatisha mambo, yani hapa tunataka tufaid ote wanaume tutakaosoma hio ep;maana tunakatabia ketu ss me kakutengeneza kaclip ukiwa unasoma ep special ka hiyo tunayoisubili kwa ham sana;..tafadhal kaka utulie kabsa uwe na utuliv kabisa wa hali ya juu:
Yaani kama hajamla Iryn hii story inakosa maana kabisa ajue [emoji38][emoji38][emoji38].
 
insider man
nakuomba kaka epsod ya kumla iryn, tafadhal ielezeee vzur sana kwa utuliv mkubwa,,ulivyoanza na ulianzia wap na ulianzaje mpka ukaweka mhogo,jins alivyokuwa analalamika mpk mwisho wake na hapa kaka jitahid epsod nzima iwe ya kula tunda tu hakuna cha sm sijuw ulipigiwa ikakatisha mambo, yani hapa tunataka tufaid ote wanaume tutakaosoma hio ep;maana tunakatabia ketu ss me kakutengeneza kaclip ukiwa unasoma ep special ka hiyo tunayoisubili kwa ham sana;..tafadhal kaka utulie kabsa uwe na utuliv kabisa wa hali ya juu:

Na title ya episode iwe namna nilivyomtafuna mtoto wa kihabesh
 
OPPORTUNITY[emoji95]

URGENT WE ARE HIRING,

POSITION: Operation Manager (1)

LOCATION: Dar es Salaam

INDUSTRY: Hospitality

EXPERIENCE: Atleast 2yrs

QUALIFICATIONS: Holder of a Bachelor/Diploma of Business Administration.

AGE : Not more than 27 Years

REQUIREMENTS
1. Excellent Communication skills and proven customer service experience.

2. Proficiency in basic computer applications

3. A female with Good Physical Appearance.

4. Leadership & Decision making skills.

Email your CV only, businessinsiderco@gmail.com

DEADLINE: 23/09/2023
Kwani male hawezi fanya? Ahsante sana kwa nafasi japo nimechelewa kuiona ila nimeitamani sana
 
Back
Top Bottom