Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hii ni kweli Mkuu.
Kwenye hii category wapo pia Pitbulls [The most dangerous dog breed], Boerbells, dogo argentino na Cane Corsos.

Halafu wote hawa wako aggresive sana, hua wana attack kwa intentions za kuua [Kuhakikisha victim amekaa kimya] na sio kungata kwa warembo wakina German shepherd.

Boerbels on the other hand, ni wapole sana ila wakiwa trained nae ni hatari sana. View attachment 2765247View attachment 2765245View attachment 2765246View attachment 2765248
hawa mbwa wakiwa wakubwa huwa kama ndama kudadeki mkono wake ni mkubwa sana wana nguvu mnoo.
 
Wale Mbwa weupe wadogo wadogo kama paka vile wana manyoya mengii kama yule (Happy walker) wanaitwaje na bei yake kama kuna mtu anajua tafathali Village-in akanyambasira Mtu chuma azyzy omary
Kuna aina Nyingi ya Pet dogs mkuu, Ila ambao wako popular zaidi ni Maltese na Japanese spits.

Bei zao kwa wale pure breed [Yani baba na mama wote ni aina moja ya mbwa] mostly naona zinarange kuanzia laki tatu mpaka tano mkuu. View attachment 2766297
BIR_Grupp_5-_JAPANSK_SPETS%2C_Chezzay%E2%80%99s_Nice_N%E2%80%99Easy_(23938629860).jpg
 
Fuga hawa hawa wa kienyeji. Afundishwe tu sheria za ulinzi. Anakuwa mzuri sana.
Hao wengine wote hao rottweiler, German shepherd wote ni hatari sana. Wengi wanajizungumzia wao lakini ni hatari sana kwa watoto. Hasa watoto kuanzia umri wa kutambaa mpaka kutembea pale,huwa unaweza ukashangaa unapiga story mtoto amekutoroka amemfuata mbwa. Umri huo wanapenda vya kucheza navyo,hasa vinavyo-sogea vyenyewe. Kuja kushtuka wewe kuzunguka nyuma unamkuta mtoto vipande vinne.
Ukifuga hao mbwa ni wa kuwa makini sana nao.
Dah! Hatari sana. kama hao rottweiler nikiwachukua wakiwa wadogo kabisa nikawakuza hadi wakawa wakubwa. Je, watakuwa na madhara the same as nilioanza kuwafuga au kuwachukua wakiwa washakuwa wakubwa tayari?
 
Back
Top Bottom