Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Nimeona hapo wameniambia aisee nilikua sijui hili ndio nimejua!mtoto wa German Shepherd bei yake hapa town inaanzia $250 , bei ya Rotty inawezakua juu kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona hapo wameniambia aisee nilikua sijui hili ndio nimejua!mtoto wa German Shepherd bei yake hapa town inaanzia $250 , bei ya Rotty inawezakua juu kidogo.
Ha ha alimla simu kachomekea tu.. najua uroho wa nyama ya kukuNa hapo ndio panapompa point tatu nyingine za mezani mtoa uzi! !
Kutokua mroho mroho! Usiniulize mroho wa nini!
Check na na jubilee insurance..wana package za watoto..kwa levels tofauti kulingana na mfuko wakoNdugu zangu habari nina Ombi naamini kuna wazazi humu ndani.
Kuna tatizo sasa kuhusu NHIF hasa kwenye Bima za watoto masharti yameongezeka na utaratibu wa kuwaandikisha watoto umebadilika.
Kuna watoto 10 ambao Iryn alikuwa anawalipia bima sasa nimejaribu kufuatilia utaratibu imekuwa ngumu sana na bima zao zime expire tayari.
Kama kuna mtu anaijua kampuni ya bima inayoweza kukata Bima za watoto naomba msaada kwa hili, NHIF wamezingua sana nafikiri hawajaangalia upande wa watoto yatima ambao wanasaidiwa.
Kurefusha story hahahaaa🤠🤠🤠🤠🤠!!Ha ha alimla simu kachomekea tu.. najua uroho wa nyama ya kuku
Asieleze kila kitu itakuwa kama naangalia porn naishia kupata tabu na kile chama nisharudisha kadi kitamboKurefusha story hahahaaa[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]!!
Ngoja tusubirie tuone itavokua itabidi siku akiweka scene ya kumla Iryn asimulie the whole process !!
🤣🤣🤣🤣! Afanye hivo buana make Iryn ndie anaenogesha hii story!!Asieleze kila kitu itakuwa kama naangalia porn naishia kupata tabu na kile chama nisharudisha kadi kitambo
Kwa jinsi ulivojenga picha ya Iryn kichwani 🤠🤠🤠!! .Nouma sanaAsieleze kila kitu itakuwa kama naangalia porn naishia kupata tabu na kile chama nisharudisha kadi kitambo
Najua ataweka kila kitu in detail tusubiri ila mjue Iryn akiliwa picha ndio inaisha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Afanye hivo buana make Iryn ndie anaenogesha hii story!!
Na Hapo tu ndio watu wanaposubiria kwa hamu Ndiomana hata akisema amemla Sijui mary sumaiya lucy Cammila mama wa2 watu hata hatushtuki ...!
Iryn ana uspesho kiukweli!!
Iryn yupo kama wewe tu [emoji23][emoji23]Kwa jinsi ulivojenga picha ya Iryn kichwani [emoji1783][emoji1783][emoji1783]!! .Nouma sana
KabisaNajua ataweka kila kitu in detail tusubiri ila mjue Iryn akiliwa picha ndio inaisha.
Mweh niwe hata theluthi yake nitambe!Iryn yupo kama wewe tu [emoji23][emoji23]
Aaa wapi uko kama yeye tuMweh niwe hata theluthi yake nitambe!
Utani wa ngumii huu ujue hii sarcasm kabisa! hahaAaa wapi uko kama yeye tu
Sio hao mim nililipa yangu last year February kufika October naambiwa ime expire.... Ety wanabadlsha sjui ujinga gani... Nimeachana nao kwanza
Rott ni mbwa hatari sana, siwezi kumshauri mtu yoyote afuge hao mbwa. GS ndio mbwa bora kabisa wa ulinzi.
Hivi bro unajiskiaje na hizi reaction za raia kuhusu kupaisha kila ukibaki na kipa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] naona unatu zoom huko mbavu huna
Check na na jubilee insurance..wana package za watoto..kwa levels tofauti kulingana na mfuko wako