Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hebu fikiria INSIDER MAN kutoweka script ya kumla Iryn watu wamepandwa jaziba hivi, vipi kuhusu mtendewa mwenyewe?

Hasira za Iryn kawaambukiza wasomaji wanaongea mambo ya ajabu
 
Bro...Wape wengi wanaotaka


Ofcourse katika wingi wa watu ishu kama hizi za kutofautiana kimawazo..mitazamo nk ni kawaida sana..There fore tujali sisi tunapenda kupata story yako ambao hawapo tayar hatuwalazimishi kusoma



Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app

Chai ya leo itakuwa ya moto sana, muda ni uleule ndo niko jikoni hapa nawaandalia.
 
Stor ni nzuri,lkn kuna maeneo insider anatuchanganya,...inakuaje kila wakati unapokua na issue sensitive na Iryn kuna jambo linaingia kuvuruga?...ulikwenda nae kwa lengo la kulala ukapigiwa simu na mama 2,unakwenda kwenye maongezi nyeti na Iryn mara Eva anaingilia...kwa matukio haya napata picha huna msimamo,huyu Eva alipokuita tu ungempiga stop ukiwa serious kwamba niko na mtu muhimu hapa tena ni boss wangu....lkn anakaa na ww una mtu mhm unamuacha anaongea mambo ambayo unajua yatamkwaza mtu uliye naye...kama mwanaume umefail pakubwa sana.
Halalfu anaondoka kabisa like seriously et nikaondoka.akifika ndan ya gari anamgata vidole kujutia kumkosa iryn.mwenetu anatutia ndimu
 
Sahihi. Ukisoma kwa burudan huwezi ona hayo, ila ukisoma kwa tafakari utaona.
Kwa kweli mimi sio mtu anaeamini hii story ni ya kutunga lakini kuna vitu havimake sense kabisa hivi kweli mama wawili anakupigia simu saa 8 usiku mume wa mtu eti kwa sababu mtoto anaumwa, mbona hakumpigia baba wa mtoto si ni kwa sababu anajua ni mume wa mtu na anaheshimu hilo iweje wewe, na tena eti wewe ni mtu wake wa karibu ina maana kabla hajakutana na insider alikuwa hana rafiki wala mtu yeyote ambae angeweza kushirikiana nae kama hivyo.
Haya huyo Eva eti anasema alikuwa sahihi sio kweli hivi hata kama angekuwa rafiki yake wa kike best kabisa unamkuta sehem amekaa na mtu unaweza ukakaa tu na kuanzisha story bila wao kukukaribisha, angesalimia na kuondoka au kama angeona kuna ulazima sana kuongea nae basi hata angemuomba waongee pembeni kidogo na hapo
 
Back
Top Bottom