Tsh 1.3M Kwa mwaka kununua kwa mtoto umri 0-18,INSIDER MAN ,huyu ni mdau kutoka Jubilee Insurance
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tsh 1.3M Kwa mwaka kununua kwa mtoto umri 0-18,INSIDER MAN ,huyu ni mdau kutoka Jubilee Insurance
Yeah...private price iko highMtoto mmoja 1.3M ? [emoji1544]
Nilivoona hivo sikutaka hata kupata detailsMtoto mmoja 1.3M ? [emoji1544]
Yeah...private price iko high
Aiisee....hapo kwa kweli ni ngumuNHIF ilikuwa 500,000 kwa watoto 10. Hata kama ni msaada mtu atoe 13m not easy
Bro...Wape wengi wanaotakaBado mnataka hii chai??[emoji23]
@ insider man tunaitaka kwa ham kibao weka toka waanze kisema ni chai angekua wa kuleft ashasepa kitambo ila yupo kuvutiwa 😂Bado mnataka hii chai??[emoji23]
lete chai mkuu. Hii chai ukitumia na vitumbua vya royal bakery poa sana, shusha episodiBado mnataka hii chai??[emoji23]
Kaka achana nao hao tuwekee sisi ambao tupo hapa kujifunza.Bado mnataka hii chai??[emoji23]
Bro...Wape wengi wanaotaka
Ofcourse katika wingi wa watu ishu kama hizi za kutofautiana kimawazo..mitazamo nk ni kawaida sana..There fore tujali sisi tunapenda kupata story yako ambao hawapo tayar hatuwalazimishi kusoma
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Kaka we piga kaziChai ya leo itakuwa ya moto sana, muda ni uleule ndo niko jikoni hapa nawaandalia.
Kaka we piga kazi
Ukija Dom tuchiane basi mkuu..mie niko hapa Dom town
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Wara wara mkuuDodoma nitakuja J4 but kama nitapata chance nitakutafuta ndugu yangu
Halalfu anaondoka kabisa like seriously et nikaondoka.akifika ndan ya gari anamgata vidole kujutia kumkosa iryn.mwenetu anatutia ndimuStor ni nzuri,lkn kuna maeneo insider anatuchanganya,...inakuaje kila wakati unapokua na issue sensitive na Iryn kuna jambo linaingia kuvuruga?...ulikwenda nae kwa lengo la kulala ukapigiwa simu na mama 2,unakwenda kwenye maongezi nyeti na Iryn mara Eva anaingilia...kwa matukio haya napata picha huna msimamo,huyu Eva alipokuita tu ungempiga stop ukiwa serious kwamba niko na mtu muhimu hapa tena ni boss wangu....lkn anakaa na ww una mtu mhm unamuacha anaongea mambo ambayo unajua yatamkwaza mtu uliye naye...kama mwanaume umefail pakubwa sana.
Kwa kweli mimi sio mtu anaeamini hii story ni ya kutunga lakini kuna vitu havimake sense kabisa hivi kweli mama wawili anakupigia simu saa 8 usiku mume wa mtu eti kwa sababu mtoto anaumwa, mbona hakumpigia baba wa mtoto si ni kwa sababu anajua ni mume wa mtu na anaheshimu hilo iweje wewe, na tena eti wewe ni mtu wake wa karibu ina maana kabla hajakutana na insider alikuwa hana rafiki wala mtu yeyote ambae angeweza kushirikiana nae kama hivyo.
Haya huyo Eva eti anasema alikuwa sahihi sio kweli hivi hata kama angekuwa rafiki yake wa kike best kabisa unamkuta sehem amekaa na mtu unaweza ukakaa tu na kuanzisha story bila wao kukukaribisha, angesalimia na kuondoka au kama angeona kuna ulazima sana kuongea nae basi hata angemuomba waongee pembeni kidogo na hapo