Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hahaa mi ninapoishi ni jiran kabsa na kwenye hiyo apartment aliyokua anaishi iyrn hiyo triple 7 ndo mitaa yangu kifupi naishi karibu na piccolo karibu kabsa na mstaafu JK wa pili
Ahaaa kumbe...... Kuna demu mmja yupo kwa remi anaitwa Iryn anapika kitimoto swafii..... Ana pork point ni balaa..... Then home ni Sinza kwa wajanja.....
 
Naamini naweza kuwa na tatizo la kiafya. Nimesoma episode ya 63 kawaida tu sijadinda wala kutamani nimeona kawaida tu. Ila naona comment watu wamelowa wengine wanadai wamedinda kwenye daladala.

Au sababu niko ndoani mda mrefu? [emoji848] usikute akili inaona usaliti.

mmash Nourhan

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sidhani kama kuwa ndowani muda mrefu ni tatizo nadhani labda ni vitu unavovifanya sana na wifey wako ko umeona ni kawaida tuu
 
Naona watu wanatoka udenda, wamelowa, waliosema story ya uongo wamepotea, wengine wamedinda, wengine wanasoma mara mbili mbili, na kuna wengine wame save kwenye simu zao episode ya 63. Nisije kuwa na tatizo la kiafya nikaona niulize wadau kwa sababu naona kawaida tu
 
Ni vile pia wengi tulisubiri kuona iryn analiwa ko ile shauku yako imekutana na vitu ambavyo kwako ni vya kawaida ko hujashtuka sana[emoji23] au labda umeisoma hii epsode ukiwa huna ugwadu[emoji38][emoji119]
 
Haha bado watu wanateseka na ugwadu? Nikiwa form two niliteseka na ugwadu sasa na maisha haya niteseke na ugwadu. Nimeamini wachaga tunawaza pesa, mbesa, besa, heleriiii. .
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] amna labda umri nao kuna muda ubize unafanya hata ugwadu usiwepo au stress za maisha piaa ko sijakushangaa hata yani unachakata papuchi na wifey kwasababu tuu ni muhimu kiafya ila huichukulii serious sana kama ulivokua secondary
 
Haha 😄 aisee
Ila story hii ni nzuri ina mtiririko mzuri huchoki kusoma. Natumaini kiwa insider ataimaliza kwa wakati ili maisha mengine yaendelee
 
Naamini naweza kuwa na tatizo la kiafya. Nimesoma episode ya 63 kawaida tu sijadinda wala kutamani nimeona kawaida tu. Ila naona comment watu wamelowa wengine wanadai wamedinda kwenye daladala.

Au sababu niko ndoani mda mrefu? [emoji848] usikute akili inaona usaliti.

mmash Nourhan
Watu hawajafurahia uchakataji wamefurahia aliyechakatwa. Mwanetu alipaisha sana ndio maana watu wamefurahi kua finally mtu kachakatwa.
 
Back
Top Bottom