Mkuu hizo 400m ni sawa na €150k ambazo ukigawanya kwa €100 ni sawa na noti 1500 ambazo ukizipanga kwa bunda zenye noti 100 ni sawa na bunda 15, zinabebeka vizuri kabisa.
Pama alikuwa anafanya biashara kuwa na hiko kiasi ni kawaidasana, kwa TZS unaona ni pesa nyingi sana ila ukipeleka kwa Euro ni pesa ndogo sana.
Kusahau ni kawaida mzee inadepend na mtu yuko kwenye hali gani au uchovu kiasi gani, kwa mtu kama Pama unakuta hio ni pesa ya matumizi tu. Ukiangalia Pesa anazo kwake yeye haoni kama anapesa,
Kitu kingine ukiwa na mtu unayemwamini kujiachia ni kawaida sana huwezi kuwa na mawazo, unajikuta upo sehemu salama