Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

INSIDER MAN ...achana na mambo ya kumtambulisha Iryn na mtoto Kwa wazazi wakati huu. Mama Yako ni mtu makini sana, anawezakukupa maelekezo yatakayokuweka mahali pagumu sana.

Kumbuka unatarajia kufunga ndoa(kubariki ndoa) muda SI mrefu, hizi habari za mtoto zitatibua na kuibua mambo mengine. Kwa maoni yangu, ungekamilisha Hilo zoezi la ndoa kwanza, huku ukisikilizia mambo yanaendaje.

Mie nilisha ambiwa, siku ikitokea taarifa za ujauzito au mtoto wa nje ndio mwisho wa mahusiano na wife. Akasema Yuko radhi kumtambulisha watoto wengi wajae fuso ila kama walipatikana kabla ya kufahamiana nae ila sio tukiwa wote.

Inabidi uongeze sasa Mdogo wa hao watoto Kwa Mama Jr. Naona Iryn ndio anamoto wa kukyzalia mtoto mwingine asije akasawazisha na kuongoza ligi...

Ni kweli hautaki kuendelea kulipwa mshahara kwenye kazi za Iryn, lakini hauoni kuondoka kwako inaweza kusababisha mambo yakayumba kibiashara mkapoteza wote?

Unaweza kufanya mambo mengine lakini ukaendelea ku oversee hizo biashara.

Kwenye extra episode 06 haujagusia suala la Mama Janeth na mtoto wa Iryn, hajawahi kujua wewe ndio baba wa huyo mtoto?

Kingine unakibarua kizito sana, tena sana Cha kukaa mbali na akina Mary, Mdogo wake Jane, mtoto wa Mzee Juma na walimbwende wengine, siku ukijichanganya, ikathibitika pasi shaka umechepuka, Kwa akili za Iryn zilivyo, hasira zake anaweza kumshirikisha Mama Jr kuhusu hizo tabia hata kama na yeye atakua matatani lakini hatakua na Cha kupoteza. Usiwaumize mioyo hao wake zako, Iryn akijua unachepuka ni Bora ukaji

INSIDER MAN ...achana na mambo ya kumtambulisha Iryn na mtoto Kwa wazazi wakati huu. Mama Yako ni mtu makini sana, anawezakukupa maelekezo yatakayokuweka mahali pagumu sana.

Kumbuka unatarajia kufunga ndoa(kubariki ndoa) muda SI mrefu, hizi habari za mtoto zitatibua na kuibua mambo mengine. Kwa maoni yangu, ungekamilisha Hilo zoezi la ndoa kwanza, huku ukisikilizia mambo yanaendaje.

Mie nilisha ambiwa, siku ikitokea taarifa za ujauzito au mtoto wa nje ndio mwisho wa mahusiano na wife. Akasema Yuko radhi kumtambulisha watoto wengi wajae fuso ila kama walipatikana kabla ya kufahamiana nae ila sio tukiwa wote.

Inabidi uongeze sasa Mdogo wa hao watoto Kwa Mama Jr. Naona Iryn ndio anamoto wa kukyzalia mtoto mwingine asije akasawazisha na kuongoza ligi...

Ni kweli hautaki kuendelea kulipwa mshahara kwenye kazi za Iryn, lakini hauoni kuondoka kwako inaweza kusababisha mambo yakayumba kibiashara mkapoteza wote?

Unaweza kufanya mambo mengine lakini ukaendelea ku oversee hizo biashara.

Kwenye extra episode 06 haujagusia suala la Mama Janeth na mtoto wa Iryn, hajawahi kujua wewe ndio baba wa huyo mtoto?

Kingine unakibarua kizito sana, tena sana Cha kukaa mbali na akina Mary, Mdogo wake Jane, mtoto wa Mzee Juma na walimbwende wengine, siku ukijichanganya, ikathibitika pasi shaka umechepuka, Kwa akili za Iryn zilivyo, hasira zake anaweza kumshirikisha Mama Jr kuhusu hizo tabia hata kama na yeye atakua matatani lakini hatakua na Cha kupoteza. Usiwaumize mioyo hao wake zako, Iryn akijua unachepuka ni Bora ukajifiche Gaza.

Mwisho wa siku maamuzi unayo wewe kiongozi.
KUMUWEKA MTOTO MBALI NA FAMILIA PIA NI JAMBO BAYA SANA. anaweza hold on kumueleza ukwelI Mama Jr kwa sasa hilo nakubaliana bnalo 100% ila angalau familia wajue kuwa kuna damu yao.
 
kwanza hongera kwa kupata mtoto, lakini fanya hivi
1. Usifanye siri hili jambo kwani ipo siku litajulikana tu.. mpeleke Iryn na mtoto nyumbani kwenu kumtambulisha wamjue damu yako.

2. Mwambie ukweli mama J kuwa una mtoto umezaa na Iryn na usimfiche chochote. mwache yeye aamue kuolewa au aache kuolewa na wewe..usimuoe bila yeye kufahamu hili jambo na aridhie mwenyewe kuwa kuna mke mwingine.

3. Mwambie mama J kuwa utafunga ndoa ya serikali na pale kuna option ya wewe kuwa na wake wawili au zaidi ili umlinde Iryn na watoto utakaozaa naye, watoto wote wana haki kwa baba yao.. Mama J anatakiwa ajue kabisa kuwa anaolewa na wewe lakini kuna mke mwingine ambaye naye utafunga naye ndoa..

4. Usithubutu kumuoa mama J bila ya kumpa taarifa ya mke mwenzake ambaye ni Iryn..yani ajue kuwa anaolewa kama mke wa kwanza na pia kuna mke wa pili. usisahau kuwa huyo mama J ni mchaga na mtusamehe tu wanawake wa kichaga wengi huwa wanabaki wajane jiulize kwa nini.. na hasa akigundua mume wake ana wanawake wengine na watoto huko nje mawazo yao yote huwa ni kwenye mali na kuwamaliza waume zao.. tusije tukaanza kuimba parapanda bado tunakupenda Insider..

5. Mama J akikataa kuolewa na wewe kwa sababu ya kufahamishwa kuhusu Iryn basi pambana na hali yako na umuoe huyo Iryn na ikibidi uchukue mwanao ulee wote pamoja..nakuusia usifanye siri kwa mama J kwani madhara yake ni makubwa huko mbele labda kama huwajui wachaga..
Best ushauri from mwanamke wa kichaga INSIDER MAN Pita hapa kuna kitu
 
Good advice kama mtoto keshazaliwa na no way mama j asije kujua Cha kufanya ni Bora Insider akamueleza yeye mwenyewe kwamba ana mtoto na bi dada Iryn na anataka kumfanya kuwa mke mdogo najua mwanzo ata mind lakini atatulia .
Unajua wakati mwingine tunafanya mambo kuwa magumu bure.
 
KUMUWEKA MTOTO MBALI NA FAMILIA PIA NI JAMBO BAYA SANA. anaweza hold on kumueleza ukwelI Mama Jr kwa sasa hilo nakubaliana bnalo 100% ila angalau familia wajue kuwa kuna damu yao.

Nakuelewa Mkuu, kumbuka akishaliweka wazi jambo la mtoto kwao litapokelewaje na litaishia wapi, ndio maana nashauri akamilishe kwanza zoezi la kubariki ndoa hayo mengine yatafuata baadae.

Mama Jr machale yalishamcheza, anaweza kuvumilia mtoto Kwa mwanamke mwingine lakini sio Iryn, itamtafuna sana akiwaza jinsi mambo yalivyokua yanaenda. Itakua ngumu sana kwake kuamini kwamba safari za awali Zanzibar hapakua na mahusiano. Kila mara jamaa alipochelewa kurudi nyumbani atandindoshewa jumba Bovu Iryn.

Hata Iryn alivyokua anaenda nyumbani kuwasalimia Junior na Mama yake itaonekana alikua anawakebehi tu.
Hasira zake usipime, weka mbali kabisa.
 
Sasa si bora tu ajue ukweli ili mwenyewe aamue kuendelea kuishi na Baba J yaani kuhalalisha ndoa ama kusitisha process za ndoa? Sema duh hili.jambo sio jepesi eti ujue!!!!! Nawaza tu kwa akili zangu hizi mi ningesepa aisee 😁😁😁😁 na mama J naona ndio walewale aisee unakumbuka Issue ya Prisca alirudi home???
 
Yani kwa namna yoyote mama J lazima aje kufanya jambo.....tujijuavyo wanawake
 
KUMUWEKA MTOTO MBALI NA FAMILIA PIA NI JAMBO BAYA SANA. anaweza hold on kumueleza ukwelI Mama Jr kwa sasa hilo nakubaliana bnalo 100% ila angalau familia wajue kuwa kuna damu yao.
Kama kaamua kuwa na wake 2 ni Bora aijulishe familia na mama J mapema ili kumuweka huru kuliko kukaa kimya then akajua hiyo siri baadae
 
Sasa si bora tu ajue ukweli ili mwenyewe aamue kuendelea kuishi na Baba J yaani kuhalalisha ndoa ama kusitisha process za ndoa? Sema duh hili.jambo sio jepesi eti ujue!!!!! Nawaza tu kwa akili zangu hizi mi ningesepa aisee 😁😁😁😁 na mama J naona ndio walewale aisee unakumbuka Issue ya Prisca alirudi home???

Kama ni hivyo asitishe jambo la kubariki ndoa, aweke wazi hili la mtoto na msimamo wake na Iryn baada ya vumbi kutulia ndio itaamuliwa kama ndoa itakua ya wake wawili, Mke mmoja ( Iryn au Mama J).

Nimeshauri suala la mtoto liwekwe kando kwanza Kwa sababu halina madhara makubwa Kwa Sasa. Kutojulikana kwake hakufanyi mtoto akose matunzo, hakufanyi Iryn alalamike Wala hakuna shida yoyote Kwa Mama J na haiathiri utensaji kazi wa insider.

Nakuhakikishia kujulikana Kwa hili jambo Sasa hivi sakata linaweza kuchukua sura mpya Kila kitu kikavurugika.

Watu8 tia neno Mkuu.

Sie tunataka tule ubwabwa Harusi ya kapteni mwenzetu. Umekwepa mishale mingi tupe uzoefu kidogo
 
Sasa si bora tu ajue ukweli ili mwenyewe aamue kuendelea kuishi na Baba J yaani kuhalalisha ndoa ama kusitisha process za ndoa? Sema duh hili.jambo sio jepesi eti ujue!!!!! Nawaza tu kwa akili zangu hizi mi ningesepa aisee 😁😁😁😁 na mama J naona ndio walewale aisee unakumbuka Issue ya Prisca alirudi home???
Mimi bora mtu aniambie mapema tu kuliko kunificha. Toka niujue ukweli kwamba ni asilimia moja tu ya wanaume ambao hawachepuki nimeshakubaliana na ukweli kwamba hakuna mwanaume wa peke yako. Ukianza sijui ohh naachana naye labda ubaki single maisha, ila kwa hawa wanaume wa kibongo sidhani kama utampata ambaye sio mchepukaji.
 
Hiyo Haina ubishi. Ni suala la timing tu
Tena timing za ke zinakua timing zilizoenda shule......kama ni story ya kweli I feel sorry for Insider maana hadhira tumeburudika ila fanani yuko kwenye mgogoro wa nafsi
 
Mimi bora mtu aniambie mapema tu kuliko kunificha. Toka niujue ukweli kwamba ni asilimia moja tu ya wanaume ambao hawachepuki nimeshakubaliana na ukweli kwamba hakuna mwanaume wa peke yako. Ukianza sijui ohh naachana naye labda ubaki single maisha, ila kwa hawa wanaume wa kibongo sidhani kama utampata ambaye sio mchepukaji.
Shida hata ukibaki inakua kama aliyeng'atwa na nyoka....akiona ung'ong'o lazima ashtuke
 
Back
Top Bottom