Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Muache ale maisha ni muda wake. i wish ningekuwa mimi aisee. Mbona sipati hizi bahati.Mh jaman hii folen sjui had wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache ale maisha ni muda wake. i wish ningekuwa mimi aisee. Mbona sipati hizi bahati.Mh jaman hii folen sjui had wapi
Au sio?. Sidhani mkuu. Marry lazima apite nae. Na mdogo wa JaneNakubaliana na wewe lakini Jane atamla wait and see.
Bro ukija kuwa mkubwa letsay manager wa kampuni fulani au cheo chochote hawa wanawake watakushobokea sana. Kuna level ukifika unaona madem ni kitu cha kawaida, kingine ni bahati tu.Muache ale maisha ni muda wake. i wish ningekuwa mimi aisee. Mbona sipati hizi bahati.
Sawa Mkuu.Bro ukija kuwa mkubwa letsay manager wa kampuni fulani au cheo chochote hawa wanawake watakushobokea sana. Kuna level ukifika unaona madem ni kitu cha kawaida, kingine ni bahati tu.
Jikite kutafuta hela, wanawake wapo tu.
Mabunda hayo kamanda.Hii wiki nitakuwa na thanks giving. Kwa wale mnaotumia Vodacom, Tigo na Airtel nitakuwa napost vocha. Mwenye bahati atabahatika.
Pia nitatoa zawadi ya 50k kwa atakae tabili vizuri next episode.
Ngoja nianze utabiri si kwa mibunda hiyoHii wiki nitakuwa na thanks giving. Kwa wale mnaotumia Vodacom, Tigo na Airtel nitakuwa napost vocha. Mwenye bahati atabahatika.
Pia nitatoa zawadi ya 50k kwa atakae tabili vizuri next episode.
Sema ahsante Kwa Google Translator 😜😜😜😀😀😀INSIDER MAN The next episode is a sequel to the last episode, so it's hard for me to predict what the new episode will contain, but what I do know is that it will be linked to the last episode.
Le prochain épisode est une suite du précédent, il m'est donc difficile de prédire ce que contiendra le nouvel épisode, mais ce que je sais, c'est qu'il sera lié au dernier épisode.
Hili neno something fishy ndo hatari zaidi kwa INSIDER MAN 😂🙌INSIDER MAN next episode itaanza utakubali kumpa Iryn simu aongee na mama but kwa sharti la kuongea kama boss wako na sio mchepuko wako ila mama ata sense something fishy between you two
Lazima nibetHili neno something fishy ndo hatari zaidi kwa INSIDER MAN [emoji23][emoji119]
Daaah,Asma ameshaliwa tayari,na kakubali kuwa mchepuko wa siri50k nitaitoa kama ifuatavyo, anitabirie nini kiliendelea na Asmah. Episode ya 14 nishaandika tayari na nitaipost kesho, nasubiri watabiri.
Baba junior umeona nimepatia unaanza janja janja hahahaha50k nitaitoa kama ifuatavyo, anitabirie nini kiliendelea na Asmah. Episode ya 14 nishaandika tayari na nitaipost kesho, nasubiri watabiri.
Asmah ulimla na hili suala la Asmah ndilo lililokutenganisha na Irine50k nitaitoa kama ifuatavyo, anitabirie nini kiliendelea na Asmah. Episode ya 14 nishaandika tayari na nitaipost kesho, nasubiri watabiri.