Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.

1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)

2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).

Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.

NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
ZANZIBAR UTAENDA NA MAMA J
 
1. Kizoka utampa gari episode ya 16
2. Utakwenda Zanzibar na Mama j
Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.

1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)

2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).

Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.

NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
 
Ndugu zangu naongeza 50k nyingine.

1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)

2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).

Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.

NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
1. Kizoka utampa garie episode ya 16
2. Utakwenda Zanzibar na sumaiya
 
Zanzibar unaenda na mama J ili kumuondoa wasiwasi na kufuta makandokando ya nyuma. Kizito anapokea gari kwenye episode unayoenda kuweka sasa.
 
Daraja la Salander ndo kivutio pekee cha Dar es Salaam. Nakumbuka nikiwa na endesha Uber foreigners walikuwa wanaliongelea sana hili daraja, kama video walikuwa wanachukua za kutosha.

Ukitoka Coco mpaka Kivukoni utasema sio Tanzania hii barabara ilijengwa kwa viwango, na mazingira yake ni tulivu na masafi. View attachment 3002638
Hapo mjenzi sio mchina. Kutana na vya kichina sasa.
 
Back
Top Bottom