Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

“Iryn amekuja home kutusalimia na yuko sebleni anacheza na Junior.”

Nilishtuka sana kupewa hizi taarifa na wife na nilijiuliza amekwenda kufanya nini home na lile tumbo lake?, kwanza sikuwa na wazo kwamba atakwenda home na nilianza kuingiwa na wasiwasi, na jasho lilianza kunitoka…”

Hahaha yaani kama nakuona ambavyo unapanda "boti ya usiku toka Zenji kwenda Dar"...

Uongo mbaya sana...
 
INSIDER MAN nimepitia comment vizuri nimerealize mimi ndio mshindi wa task zote mbili (ya hilda na ya kizoka) please reconsider your previous ruling
post yangu ilikuwa no 12,991 while post ya uliyempa ushindi ilikuwa 13,001 sina maana mbaya bali i rise my case.
N.B hakukuwa na vigezo kwa yoyote atakayepatia majibu yote mawili
Thanks
Mimi nilipatia asmah akaja akataja wengine waliotabiri wiki mbili baadae.
Hadi leo zawadi ya asmah haijatoka.
 
Imefika mahali akiweka kitu yaan niwaze kuconnect matukio au nitafute episode iliyopita kuconnect matukio
 
Back
Top Bottom