Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Una haraka na papara sana KijanaBro, kwa ushauri tu wa Bure; maliza hii story, just make it final🙏🏼. Inatosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una haraka na papara sana KijanaBro, kwa ushauri tu wa Bure; maliza hii story, just make it final🙏🏼. Inatosha.
SANCHI anatoshaStory bila iryn hainogi
Yaani wewe ni mshenzi unamuwaza Iryn unataka kumla ama kumkunywaStory bila iryn hainogi
Hahaha Acha tuYaani wewe ni mshenzi unamuwaza Iryn unataka kumla ama kumkunywa
Sijamzoea kapoa sanaSANCHI anatosha
Naaam Mr. GruMr Sherman
Mkuu nashindwa kukupa makadirio mazuri. Wacheki hawa jamaa instagram, pia ingia kwenye website yao wameweka kila kitu hadi bei. Ukiwapigia wanakupa hadi ushauri hawana noma.Nyingine isichelewe sana mzee hapo ulipoishia Pana mengi.
Kama hutojali naomba kujua budget ya kuanzisha tyre service kwa vifaa vya kisasa kama ulivyota. Location na Kodi iwe nje a budget @ INSIDER MAN
Inategemea na Capital mkuu, kwa fee ya serikali kwa kampuni yenye capital kubwa haizidi 500k. Hapo sasa kuna gharama zingine za kuandaa memorandum, utahitaji Advocate wa kukusaidia au consultant.Kusajili kampuni natakiwa kuwa na kiasi gani? INSIDER MAN
Kiherehere chote kwishaaaaa.Nitakutumia script zote unisaidie kufinalize. Pia kuna thread nyingi humu JF za kusoma, kama unakesha hapa. Pole sana!
Naona profile ina U-sanchi kwa mbali😹Safi sana hongera kwa mapambano👏👏
Msalimie PeabodyNaaam Mr. Gru
Thanks Mwamba🙏🏼🙏🏼🙏🏼😜
Anhaaa wapi kawaida sanaNaona profile ina U-sanchi kwa mbali😹