Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Eti "Insider una nyota kali sana"

Hii story imejaaa uhaya mwingi sana 😄😄😄😄😄😄
 
ujue we inakuuuma snaa aiseee kwa mm navoona yan imekuuma sana sjui unataman ungekua ww
ila nais hauna standards za marry ndo mana loho inakuchonyota
Kwani cocochanel unataka vipi ? Au haujui msema kweli ni Mpenzi wa Mungu? Insider anaeleza aliyoyafanya sasa wewe unataka asiandike ili akiridhishe wewe? Tafadhari acha kumnyooshea mwenzako kidole wakati vidole vitatu vinakuangalia wewe
 
😅😅😅
U yeah wewe uko sawa upstairs?

Mary kumlala shem wake ndio niumiie!!!

Wewe umeumia ka vile muhusika.. Vipi ya ID hii ikupeleke mbali kushindwa vumilia?

🤣🤣🤣🤣🤣 Pole hujiheshimwu kabisa.. Udongo
 
Jane yeye amezoea hayo maisha coz ameishi na mume wa mtu na ndie aliyempa maisha so huwezi ukategemea atakua na ushauri mzuri kwa kina Mary... angekua mwingine angemshauri atafute pahala kwa kuzipeleka hisia zake na si kwajamaa ambae tayari ako na familia ila yeye ndio kwanza anawaunganisha ili wakulane 😆😆😆😆

😅😅😅
Kabisaaaa
Tena ameyafanya kwa bidii..
Mshauri mkubwa wa Mary
 
😅😅😅
U yeah wewe uko sawa upstairs?

Mary kumlala shem wake ndio niumiie!!!

Wewe umeumia ka vile muhusika.. Vipi ya ID hii ikupeleke mbali kushindwa vumilia?

🤣🤣🤣🤣🤣 Pole hujiheshimwu kabisa.. Udongo
hainaga ushemeji tunakulaga
zamu ya nan leo zamu ya marry zamu yako itakuja kesho kuliwa insider uskonde
na prisca kapita iryne kapita mama j kapita na mpaka wewe utapita
 
Jane yeye amezoea hayo maisha coz ameishi na mume wa mtu na ndie aliyempa maisha so huwezi ukategemea atakua na ushauri mzuri kwa kina Mary... angekua mwingine angemshauri atafute pahala kwa kuzipeleka hisia zake na si kwajamaa ambae tayari ako na familia ila yeye ndio kwanza anawaunganisha ili wakulane 😆😆😆😆
Ukimsoma Jane BTW the line huwezi kumlaumu; Jane aligundua kama Mary anampenda Insider, Jane alijua kabisa kwamba INSIDER amepiga sana mdogo wake na Mary again Jane alienda mbali zaidi kwa Mary kwamba, "huyo shemeji yako kaoa; yaani ana mke" [Kama utakumbuka Mary alimfokea sana siku 1 bwana mwandishi] but Mary alivoji reset akaendelea kua na hisia kali kwa mwamba, hisia hizo hizo alizidi kuzionesha kwa Jane; mlitaka Jane afanyaje? Again, by nature wanawake almost wote uliwafanyia WEMA huaga ana hisi ana deni na wewe na atatafuta namna akulipe; wanawake wanajua the most gift to give to a man is her cocuchie, sio pesa wala nini; ni HICHO. Mary kaona INSIDER ana utu, ana huruma sana na anajali mno; that's a man of any woman's dream. Kampa kiroho Safi kabisa na vitu vya thamani kamnunulia yaani
 
😅😅😅
Hata uandike nini nawe kama yeye..

Juu ya Mary na Prisca.. Hajajiheshimu kabisa.. Hata Mary shameful woman

Vitoto vya wenzie atakuwa amekoma.. Jambo la mama wawili limesaidia kumrudishia akili fulani la sivyo kama hadi leo hajapiga Vicky basi alipata fundisho

Jane mchafuzi wa Mama J
Muache kaka wa watu afaidi matunda ya uber bwana
 
Ukimsoma Jane BTW the line huwezi kumlaumu; Jane aligundua kama Mary anampenda Insider, Jane alijua kabisa kwamba INSIDER amepiga sana mdogo wake na Mary again Jane alienda mbali zaidi kwa Mary kwamba, "huyo shemeji yako kaoa; yaani ana mke" [Kama utakumbuka Mary alimfokea sana siku 1 bwana mwandishi] but Mary alivoji reset akaendelea kua na hisia kali kwa mwamba, hisia hizo hizo alizidi kuzionesha kwa Jane; mlitaka Jane afanyaje? Again, by nature wanawake almost wote uliwafanyia WEMA huaga ana hisi ana deni na wewe na atatafuta namna akulipe; wanawake wanajua the most gift to give to a man is her cocuchie, sio pesa wala nini; ni HICHO. Mary kaona INSIDER ana utu, ana huruma sana na anajali mno; that's a man of any woman's dream. Kampa kiroho Safi kabisa na vitu vya thamani kamnunulia yaani
Hatari yani
 
Well
Ukimsoma Jane BTW the line huwezi kumlaumu; Jane aligundua kama Mary anampenda Insider, Jane alijua kabisa kwamba INSIDER amepiga sana mdogo wake na Mary again Jane alienda mbali zaidi kwa Mary kwamba, "huyo shemeji yako kaoa; yaani ana mke" [Kama utakumbuka Mary alimfokea sana siku 1 bwana mwandishi] but Mary alivoji reset akaendelea kua na hisia kali kwa mwamba, hisia hizo hizo alizidi kuzionesha kwa Jane; mlitaka Jane afanyaje? Again, by nature wanawake almost wote uliwafanyia WEMA huaga ana hisi ana deni na wewe na atatafuta namna akulipe; wanawake wanajua the most gift to give to a man is her cocuchie, sio pesa wala nini; ni HICHO. Mary kaona INSIDER ana utu, ana huruma sana na anajali mno; that's a man of any woman's dream. Kampa kiroho Safi kabisa na vitu vya thamani kamnunulia yaa
Well said Yani a woman will do so akiamni kwamba ndo the best thing kwake kuitoa as a woman...kimtindo kaka mkubwa hapo kaongea point
 
Kwani cocochanel unataka vipi ? Au haujui msema kweli ni Mpenzi wa Mungu? Insider anaeleza aliyoyafanya sasa wewe unataka asiandike ili akiridhishe wewe? Tafadhari acha kumnyooshea mwenzako kidole wakati vidole vitatu vinakuangalia wewe
Insider alishampotezea kitambo baada ya kuona anajipa umuhimu sana kwenye huu uzi 😅
 
Back
Top Bottom