Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ety mrangi hahahahahaUnamsifu Mary ana akili ila naona ni bint mpumbavu hana akili kwa sababu kwanza mwanaume wa mdogo wake yaani X unaombwa vipi kuzaa na mwanaume ambae ana mwanamke kama mkewe wana mtoto bado ana mwingine ana mimba yake na wote hajaoa anaomba uzae ina maana atakuwa single mama malezi ya mama tu sio na baba kwa pamoja 😂ilitakiwa akatae hapo hapo ibaki anadinywa basi ila kwa alivyo mpumbavu atabeba mimba.
Insider ni kama wanaume wengi walivyo malaya sijui Mrangi sio kwa kupenda papa huko halafu roho mbaya ubinafsi kutaka kumzalisha bint wa watu unaharibu future yake huna mpango wa kuowa gonga tu upite sio uzalishe halafu hujifunzi kutokana na makosa.
Kwa hizi gari unique nashauri spare ambazo ni consumable like bushes, shock ups jitahidi uwe umeagiza kabla havijaisha muda wake. Agiza on-line kaa navyo ndani. Again gari za Ulaya better uwe na back up, hazikawii kukuadhiri wakati unahitaji msaada wake.Chuma ndo hii?
Hebu tuweni wakweli, tuache wivu kabisa. Hivi kabisa unaweza kusema INSIDER MAN analelewa? Anafugwa? Mwamba alisusa mshahara almost miezi 6 (refer ile episode ya Dodoma akiwa na Mary, siku aliomla Mary for first time ) Tuache wivu, Insider bado anaweza kua role model kwa vijana wengi, anajitafuta na kajipata, Insider ni mwaminifu sana, I thought vijana wengi mngejifunza kwake, tazama jinsi mzee Juma na familia yake wanavyo mpenda, haikutokea tu, alitengeneza mazingira hayo kwa jasho na uaminifu. Vijana wengi humu hivi ile Nissan Dualis ingerudi kwa Jenny kweli? Tazama uaminifu ule ulivompa mailege kwa mzee Juma, Jenny na marafiki wa mzee Pama. Kuna mengi sana ya kujifunza kwa dogo. Kitendo cha yeye kupita na kina dada kadhaa bado kwangu sioni kama dogo ni malaya, karuka sana viunzi huyu mtu, bado ana stahili pongezi nyingi.Acha mbwembwe dogo. Sasa hapa imekubadilishaje maisha yako? Mtu anafugwa na kulelewa na mwanamke, we imekubadilisha namna gani? Aiseeeee😀😀😀😀
Mfano wewe ndio ungekua dada yake mwandishi; kwa situation aliokua nayo kaka yako UNGEFANYAJE?Hakuna kitu kinauma kama mume wako/ mchumba wako awe na mchepuko kampa mimba halafu hadi ndugu wa mwanaume wanajua na wanamjali huku wewe tuu ndio hujui.
Ndugu wanaendelea kukuchekea siku unakuja kujua ni wewe tuu ndio hujui inauma sana. Sometimes men creates the monster in women kwa matendo yao halafu kesho wanajifanya " fear women" nyoko nyoko.
Nyie mawifi, mama wakwe wenye tabia kama za dada Insider jua kwamba " Karma serves exactly the same Menu" sijasema muitenge damu yenu ila maumivu ambayo mwanamke mwenzio anayasikia yatarudi kwa namna yoyote ile.
Cami halisi tumeshamjua nowCode tayari imefunguka