Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mfano wewe ndio ungekua dada yake mwandishi; kwa situation aliokua nayo kaka yako UNGEFANYAJE?
Mimi ningemsapoti kaka yangu kulea damu yake ila kamwe nisingejihusisha kwenda South kumlea Irene hapo mama J atajisikia vibaya mno dada ilibidi aweke mipaka ya mambo ya kaka yake amwachie mwenyewe hakuwa na haja ya kwenda south.

Hata mume wake sijui ni mwanaume wa aina gani anamruhusu mke wake akamlee mchepuko wa mdogo wake labda kama na mume analelewa kama Insider so hana sauti kwenye ndoa. Ila mwanaume anayejielewa asingeruhusu upuuzi huo.

Wengi wanasema Mama J hajaolewa ila katolewa mahari tuuu sio mke ila hao hao ndio ingekuwa case ya mwanamke wangemsema ni mke sababu kashatolewa mahari.
Kwa uelewa wangu mimi ukishatoa mahari huyo ni mkeo kimila ila utandawazi umefanya tuone kama kitu cha kawaida mno ila trust me kutoa mahari kuna nguvu mno kiapo cha kanisani ni ziada tuu. Hata kwenye biblia mahari ndio ilikuwa ndoa yenyewe ukilipa mahari unabeba mke wako.

Mwisho wa siku hii ni stori tuu insider anaweza kuwa real au anaongezea nyama nyama stori inoge ila kama ni kweli " karma"
 
Hebu tuweni wakweli, tuache wivu kabisa. Hivi kabisa unaweza kusema INSIDER MAN analelewa? Anafugwa? Mwamba alisusa mshahara almost miezi 6 (refer ile episode ya Dodoma akiwa na Mary, siku aliomla Mary for first time ) Tuache wivu, Insider bado anaweza kua role model kwa vijana wengi, anajutafuta na kajipata, Insider ni mwaminifu sana, I thought vijana wengi mngejifunza kwake, tazama jinsi mzee Juma na familia yake wanavyo mpenda, haikutokea tu, alitengeneza mazingira hayo kwa jasho na uaminifu. Vijana wengi humu hivi ile Nissan Dualis ingerudi kwa Jenny kweli? Tazama uaminifu ule ulivompa mailege kwa mzee Juma, Jenny na marafiki wa mzee Pama. Kuna mengi sana ya kujifunza kwa dogo. Kitendo cha yeye kupita na kina dada kadhaa bado kwangu sioni kama dogo ni malaya, karuka sana viunzi huyu mtu, bado ana stahili pongezi nyingi.
Kwa tulioruka viunzi vingi tayari tunaelewa lugha anayozungumza. Ni ngumu kukwepa wote labda.
 
Si

SIo kosa lao njaa mbaya mkuu dada kashaona fursa ingekua ni mwajumwa wa buza angeenda? Well thats if at all hii stori ni ya kweli
 
Hebu tuweni wakweli, tuache wivu kabisa. Hivi kabisa unaweza kusema INSIDER MAN analelewa? Anafugwa? Mwamba alisusa mshahara almost miezi 6 (refer ile episode ya Dodoma akiwa na Mary, siku aliomla Mary for first time ) Tuache wivu, Insider bado anaweza kua role model kwa vijana wengi, anajutafuta na kajipata, Insider ni mwaminifu sana, I thought vijana wengi mngejifunza kwake, tazama jinsi mzee Juma na familia yake wanavyo mpenda, haikutokea tu, alitengeneza mazingira hayo kwa jasho na uaminifu. Vijana wengi humu hivi ile Nissan Dualis ingerudi kwa Jenny kweli? Tazama uaminifu ule ulivompa mailege kwa mzee Juma, Jenny na marafiki wa mzee Pama. Kuna mengi sana ya kujifunza kwa dogo. Kitendo cha yeye kupita na kina dada kadhaa bado kwangu sioni kama dogo ni malaya, karuka sana viunzi huyu mtu, bado ana stahili pongezi nyingi.
KWa kuongezea tu,wengi wanaomponda Insider wanatamani wangekuwa yeye
 
Si

SIo kosa lao njaa mbaya mkuu dada kashaona fursa ingekua ni mwajumwa wa buza angeenda? Well thats if at all hii stori ni ya kweli
Kabisa yaani am sure hii mimba angekuwa nayo Asmah dada mtu wala asingehangaika nae na angemshauri kabisa Insider ajitahidi kuficha mama J asijue. Wadada tutafuteni hela jamani mawifi wakunyenyekee.
 
Mimi ningemsapoti kaka yangu kulea damu yake ila kamwe nisingejihusisha kwenda South kumlea Irene hapo mama J atajisikia vibaya mno dada ilibidi aweke mipaka ya mambo ya kaka yake amwachie mwenyewe hakuwa na haja ya kwenda south.

Hata mume wake sijui ni mwanaume wa aina gani anamruhusu mke wake akamlee mchepuko wa mdogo wake labda kama na mume analelewa kama Insider so hana sauti kwenye ndoa. Ila mwanaume anayejielewa asingeruhusu upuuzi huo.

Wengi wanasema Mama J hajaolewa ila katolewa mahari tuuu sio mke ila hao hao ndio ingekuwa case ya mwanamke wangemsema ni mke sababu kashatolewa mahari.
Kwa uelewa wangu mimi ukishatoa mahari huyo ni mkeo kimila ila utandawazi umefanya tuone kama kitu cha kawaida mno ila trust me kutoa mahari kuna nguvu mno kiapo cha kanisani ni ziada tuu. Hata kwenye biblia mahari ndio ilikuwa ndoa yenyewe ukilipa mahari unabeba mke wako.

Mwisho wa siku hii ni stori tuu insider anaweza kuwa real au anaongezea nyama nyama stori inoge ila kama ni kweli " karma"
We huoni kama hata sister wake anampenda wifi yake mama Jr? Kama angemuacha Insider aendd SA kwa ajili ya mama kijacho wake, huoni kama angekua kaongeza siku za yeye kua mbali na mkewe? Remember since February mwishoni kaachana na mkewe mama Jr; hi ni June bado hajarudi home na angeenda SA means hadi mwezi labda wa August; hapo huoni kama na sister wake angekua kamfanya kaka yake ampende zaidi Iryne na sio mama Jr? Kwa mtazamo wangu; sister wake ana akili sana. Tena anapenda mdogo/kaka yake asizae na Iryn mtoto mwingine, anataka a concentrate na mkewe mama Jr. Huyu ndio alimshauri abadiri namba za simu na ni huyu huyu aliyemshauri ahame hiyo nyumba; yote hi ni kumuepuka Iryne the boss lady
 
Si

SIo kosa lao njaa mbaya mkuu dada kashaona fursa ingekua ni mwajumwa wa buza angeenda? Well thats if at all hii stori ni ya kweli
Wivu kitu kibaya sana; huyu sister unamuona ana njaa kweli huyu? Kapeleka mtu 3 Serengeti national park kwa gharama zake. Unajua bei za hotel kule mbugani? Bei ya chakula? Unakumbuka wakati anakwenda SA for first time? Safari haikua na maandalizi yoyote but simu 1 tu kwa mumewe, mpunga ukatumwa. Familia yao hawa kina Insider hawana njaa; tusidanganyane; hawa wamelelewa kishua kabisa. Unless kama unasoma tayari ukiwa na negativity na mwamba.
 
We huoni kama hata sister wake anampenda wifi yake mama Jr? Kama angemuacha Insider kwamba SA kwa ajili ya mama kijacho wake, huoni kama angekua kaongeza siku za yeye kua mbali na mkewe? Remember since February mwishoni kaachana na mkewe mama Jr; hi ni June bado hajarudi home na angeenda SA means hadi mwezi labda wa August; hapo huoni kama na sister wake angekua kamfanya kaka yake ampende zaidi Iryne na sio mama Jr? Kwa mtazamo wangu; sister wake ana akili sana. Tena anapenda mdogo/kaka yake asizae na Iryn mtoto mwingine, anataka a concentrate na mkewe mama Jr. Huyu ndio alimshauri abadiri namba za simu na ni huyu huyu aliyemshauri ahame hiyo nyumba; yote hi ni kumuepuka Iryne the boss lady
Uzuri wa story kila mtu huwa ana namna yake ya kuichambua na kuielewa. Wewe umeielewa kwa angle tofauti na mimi ila hakuna msaada wowote alioufanya dada mtu eti insider arudi kwa mkewe kumuepuka Irene
 
Na hata Insider akichapiwa mama J hawezi sema humu ndani ili mumcheke🤣🤣🤣 hiyo itabaki kuwa siri yake tuu, mtaona episode zijazo vile tiwst itakuja na mama J atabaki very clean hamtaamini.
Kumbuka hi ni story ya mambo yaliopita, halafu aliacha codes mapema kuhusu mkewe kutongozwa. According to the story, jamaa yupo vizuri sana na mkewe sasa hivi though inaelekea bado hawajafunga ndoa kanisani.
 
Wivu kitu kibaya sana; huyu sister unamuona ana njaa kweli huyu? Kapeleka mtu 3 Serengeti national park kwa gharama zake. Unajua bei za hotel kule mbugani? Bei ya chakula? Unakumbuka wakati anakwenda SA for first time? Safari haikua na maandalizi yoyote but simu 1 tu kwa mumewe, mpunga ukatumwa. Familia yao hawa kina Insider hawana njaa; tusidanganyane; hawa wamelelewa kishua kabisa. Unless kama unasoma tayari ukiwa na negativity na mwamba.
Sawa jirani yao
 
Inawezekana Mama J anampima tu Insider ili kumwonesha kuwa kuna njema linamkuna lkn sidhani. Kwa akili ya kawaida, mwizi hawezi kuacha ushahidi kizembe hivyo.

Hii ni mbinu ambayo mwanamke mwaminifu huweza kuitumia kulipa kisasi kwa mwanaume mchepukaji.

In short Mama J kafanya usanii tu.
Mi pia nawaza hivyo. Hilo jambo liliwahi kunikuta. Na kweli roho iliniuma sana kupita maelezo
 
Back
Top Bottom