Hii ni story tu ..kama story yoyote ki uhalisia haiwezekani kutokea ..japo mwandishi anajua kupanga maandishi na kuwe ladha..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni story tu ..kama story yoyote ki uhalisia haiwezekani kutokea ..japo mwandishi anajua kupanga maandishi na kuwe ladha..
What is your point?Hata kama ni story tu Haina ukweli wowote Mimi naifurahia sana tangu mwanzo wake, hongera insiderman unajua kutufurahisha
Hahahahaha ni mtu ambaye kukutupa chini ya basi hawazi kabisaKatika hii story mama wawili simpendi sana basi tu
Muosha, huoshwa!Mama J dakika za jioooooooni anapiga come back
ana mambo ya kiswahili ingawa alipata bahati ya kupendwa na wenye hela akapata kazi nzuri lakin hiyo haibadili hali yake ya uswahili. Unawezaje kumfanyia mtu jambo kama lile pasipo kufikiri mara mbili? Ni kulipa ubaya kwa wema.Hahahahaha ni mtu ambaye kukutupa chini ya basi hawazi kabisa
duuh! Aisee!Bora asmah aage mashindano iron abaki kidedea
Huyu Mary nae 40 yake itafika tu. Sikapendiii.
Mama wawili nae Hana kifua cha kudhibiti mihemko sio rafiki mzuri.
Yeah sema anaonekana yuko matured sana huyo mama J... ni ameamua aupe muda nafasi.Umewaza kama mimi
Anajaribu tu kuipima imani ya mumewe ila kiukweli inaonekana kachoshwa sana na mbilingembilinge za mume wake
Kwqnza mara nyingi anatuharibia utamu anapiga simu muda watu wanajiandaa kunyanduana.Hahahahaha ni mtu ambaye kukutupa chini ya basi hawazi kabisa
Ungemalizia kabisa anasoma masters chuo kinaishia herufi "M"Hongera, ila kuna codes kama zinakuja na zinakataa kama ntabahatisha hata kama utakana nahis kama nakujua au vitu ulivyosimlia vingi navijua.
We ni A
manz unayemuongelea anatokea T
Benz umepewa na mshikaj wako wa N
Unaish R.C
Ishu unazofanya sio za saloon ni R.E.
Nimeweka pia codes kama sio wewe, basi kuna pacha ako anapitia haya mnafanana kwa mbali.
Pamoja na kufungua code kwa codeila nimetoka kapaHongera, ila kuna codes kama zinakuja na zinakataa kama ntabahatisha hata kama utakana nahis kama nakujua au vitu ulivyosimlia vingi navijua.
We ni A
manz unayemuongelea anatokea T
Benz umepewa na mshikaj wako wa N
Unaish R.C
Ishu unazofanya sio za saloon ni R.E.
Nimeweka pia codes kama sio wewe, basi kuna pacha ako anapitia haya mnafanana kwa mbali.
Mbona unaweka mafumbo wakati ushasema code ziko wazi now, si uweke full namesHongera, ila kuna codes kama zinakuja na zinakataa kama ntabahatisha hata kama utakana nahis kama nakujua au vitu ulivyosimlia vingi navijua.
We ni A
manz unayemuongelea anatokea T
Benz umepewa na mshikaj wako wa N
Unaish R.C
Ishu unazofanya sio za saloon ni R.E.
Nimeweka pia codes kama sio wewe, basi kuna pacha ako anapitia haya mnafanana kwa mbali.
INSIDER MAN sikia kilio cha boss wetuMwezi uliopita nilimuonesha hii story boss wangu. Saivi amekuwa na arosto na story kuliko ata mimi. Kila saa utasikia ....kijana huyu insider hapost ...hahahah
HahahaINSIDER MAN sikia kilio cha boss wetu