Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Kinachofuata ni Iryn kujitambulisha kwa mama J kama mke mwenza lengo tu mama J afanye maamuzi magumu ya kukuacha. Ni swala la muda tu Iryn anavumilia kushare naye. Ipo siku hatataka kumuona. Umemtengeneza adui namba moja wa mama J lazima uwe smart. Muwekee masharti na yeye mapema kuwa siku akimvuruga mama J anakukosa jumla. Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke wako wa kwanza na wanaofuata. Huyu akibaki peke yake atakuvuruga utaiona dunia hii chunguMama watoto this time wivu umeongezeka sana. Kanitamkia live kwamba, this time akiniotea nina chepuka, atapotea na watoto😤.
Nimepewa deadline kufikia December niwe nimempeleka kwetu, otherwise ataenda mwenyewe.🙆🏻♂️
Muwe na usiku mwema.


