Ahaaa sawa usijari kumbe kuanzia mwezi huo basi hamna shida ni mwezi mzuri Naamini naweza kuwa nipo tayari.Sawa mkuu ukiwa tayari unaweza ukaniambia nimebakiza semister moja kumaliza Chuo nahisi hata mwezi wa 9 huko mambo yatakua mazuri
Shukrani mkuuahaaa sawa usijari kumbe kuanzia mwezi huo basi hamna shida ni mwezi mzuri Naamini naweza kuwa nipo tayari
Jamaa yangu mmoja alikuwa dar sasa akapata majanga akakimbilia songea yupo km mwaka huko aniambia kuhusu biashara ya hawa samaki tena yeye aliniombia km nina laki 3 nimtumie atakuwa ananililipa kila mwezi 50 na msingi upo vilevile nilimuona mzushi kumbe kweli aiseeahaaa sawa usijari kumbe kuanzia mwezi huo basi hamna shida ni mwezi mzuri Naamini naweza kuwa nipo tayari
Ni kweli mkuu na iyo laki 3 ni mtaji mkubwa akiongezea kidogo tu hapo akafanya vizuri anakulipa bila tatizo na yeye bila kuyumba hata kidogo.Jamaa yangu mmoja alikuwa dar sasa akapata majanga akakimbilia songea yupo km mwaka huko aniambia kuhusu biashara ya hawa samaki tena yeye aliniombia km nina laki 3 nimtumie atakuwa ananililipa kila mwezi 50 na msingi upo vilevile nilimuona mzushi kumbe kweli aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana songea kuna uhaba wa samaki bossnikweli mkuu na iyo laki 3 ni mtaji mkubwa akiongezea kidogo tu hapo akafanya vizuri anakulipa bila tatizo na yeye bila kuyumba hata kidogo
Hapana ila kuna uhitaji mkubwa wa samaki,pia kuna soko kubwa sana la samaki mbalimbali kutoka maziwa yote unayoyajua,utajipatia samaki za ziwa za kukaanga na mafuta au zilizobanikwa na moto na ilo soko samaki 90% wanauza kwa jumla.
Kilichonikimbiza mimi kwenye hii biashara ilikuja changamoto mpya ambayo watu tuliondoka kilazima, Serikali ilianzisha operation babuu kubwaa atari sana wakitembelea kila ilipo kambi ya wavuvi na wachuuzi.Kilichokukimbiza kwenye hii biashara ni nini mkuu? Changamoto? Maana inaonekana ilikulipa