Jinsi biashara ya uchuuzi wa samaki ilivyonipa msoto wa hasara

Jinsi biashara ya uchuuzi wa samaki ilivyonipa msoto wa hasara

Sawa mkuu ukiwa tayari unaweza ukaniambia nimebakiza semister moja kumaliza Chuo nahisi hata mwezi wa 9 huko mambo yatakua mazuri
Ahaaa sawa usijari kumbe kuanzia mwezi huo basi hamna shida ni mwezi mzuri Naamini naweza kuwa nipo tayari.
 
ahaaa sawa usijari kumbe kuanzia mwezi huo basi hamna shida ni mwezi mzuri Naamini naweza kuwa nipo tayari
Jamaa yangu mmoja alikuwa dar sasa akapata majanga akakimbilia songea yupo km mwaka huko aniambia kuhusu biashara ya hawa samaki tena yeye aliniombia km nina laki 3 nimtumie atakuwa ananililipa kila mwezi 50 na msingi upo vilevile nilimuona mzushi kumbe kweli aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yangu mmoja alikuwa dar sasa akapata majanga akakimbilia songea yupo km mwaka huko aniambia kuhusu biashara ya hawa samaki tena yeye aliniombia km nina laki 3 nimtumie atakuwa ananililipa kila mwezi 50 na msingi upo vilevile nilimuona mzushi kumbe kweli aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu na iyo laki 3 ni mtaji mkubwa akiongezea kidogo tu hapo akafanya vizuri anakulipa bila tatizo na yeye bila kuyumba hata kidogo.
 
Ina maana songea kuna uhaba wa samaki boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ila kuna uhitaji mkubwa wa samaki,pia kuna soko kubwa sana la samaki mbalimbali kutoka maziwa yote unayoyajua,utajipatia samaki za ziwa za kukaanga na mafuta au zilizobanikwa na moto na ilo soko samaki 90% wanauza kwa jumla.

Kwaiyo kinachofanyika ni wafanyabiashara wote wa rejareja wa wilaya ya Songea samaki wanaenda kujumua hapo ndio kila kitu ilo soko linalisha jamii kubwa sana ata samaki zikiwa nyingi ni ndani wiki 2 adi 3 zinaisha na samaki zinasafilishwa kila siku za mungu watu ndio shughuli yao.

Ndio maana unakuta samaki mmoja anaanza kuuzwa Tsh. 50 adi 15,000/ kutegemea na ukubwa au ubora
 
Kilichokukimbiza kwenye hii biashara ni nini mkuu? Changamoto? Maana inaonekana ilikulipa
Kilichonikimbiza mimi kwenye hii biashara ilikuja changamoto mpya ambayo watu tuliondoka kilazima, Serikali ilianzisha operation babuu kubwaa atari sana wakitembelea kila ilipo kambi ya wavuvi na wachuuzi.

Ilitokea hii ni baada ya ule upimaji wa samaki na rura Bungeni kama unaikumbuka ile ishu ilituathiri ata wafanya biashara.

Polisi wa kutosha na ving'ola kwa wingi wanakuja wakiukuta mzigo wako wanataifisha haijalishi ni fusho tupu ilikuwa na wavuvi kuchomewa nyavu,

Mimi binafsi huo mzigo wa mwisho ni msaada wa Mungu tu ilibakia kidogo sana kuchukuliwa.

Ila kwa wale waliokomaa zaidi waliingiza pesa ndefu maana samaki sokoni zilikuwa adimu zilipanda sana bei alafu wakinunua kwa urahisi.

Nimechapwa viboko na askari polisi sema nimejalibu kupufupisha hadithi isiwe ndefu

Lakini sasa hali ni shwari hamna tena usumbufu huo
 
Back
Top Bottom