Jinsi biashara ya uchuuzi wa samaki ilivyonipa msoto wa hasara

Jinsi biashara ya uchuuzi wa samaki ilivyonipa msoto wa hasara

Mkuu hii Biashara kwa miaka hii vipi maana ww umefanya kitambo je inalipa kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii biashara kwasasa inalipa maana mwaka mwishoni mwa mwaka 2018 magufuli aliingilia kati akasema ruksa kuvuna samaki wachuuzi wasisumbiliwe ila wahakikishe wavuvi wanakuwa na leseni ya uvuvi, kama unakumbuka kipindi kile kulitokea vurugu maziwani watu kupigwa wavuvi kuchomewa nyavu na wachuuzi kutaifishwa, mimi mwenyewe mzigo wangu wa mwisho uliponenea chupuchupu lakini bakora za akari nimekula haswaa.

Ukitaka ikulipe nenda mwenyewe direct kwasabu kule samaki mmoja ukiuziwa sh. 50 basi ujue sokoni unakuja kumuuza sh. 200 mara 3 yake ni faida ukitaka unaweza kuzikaanga na mafuta na kuna mbinu za kuzifanya zikae mda mrefu ata kama ni za kukaanga
 
Hii biashara kwasasa inalipa maana mwaka mwishoni mwa mwaka 2018 magufuli aliingilia kati akasema ruksa kuvuna samaki wachuuzi wasisumbiliwe ila wahakikishe wavuvi wanakuwa na leseni ya uvuvi,kama unakumbuka kipindi kile kulitokea vurugu maziwani watu kupigwa wavuvi kuchomewa nyavu na wachuuzi kutaifishwa, mimi mwenyewe mzigo wangu wa mwisho uliponenea chupuchupu lakini bakora za akari nimekula haswaa,
Ukitaka ikulipe nenda mwenyewe direct kwasabu kule samaki mmoja ukiuziwa sh. 50 basi ujue sokoni unakuja kumuuza sh. 200 mara 3 yake ni faida ukitaka unaweza kuzikaanga na mafuta na kuna mbinu za kuzifanya zikae mda mrefu ata kama ni za kukaanga
Shukrani boss mungu akubariki sana,ukiacha mtera maeneo gani mengi mzigo wa samaki unapatikana ,vp kwa dar masoko yapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani boss mungu akubariki sana,ukiacha mtera maeneo gani mengi mzigo wa samaki unapatikana ,vp kwa dar masoko yapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo sehemu nyingi samaki wanapatika kuna Ziwa Rukwa, Na bwawa moja linaitwa shimo la mungu nako samaki zake kama za mtera itategemea unataka samaki wa ziwa au wa bahari lakini kama ukipeleka miji yenye bahari mf. Dsm, Mtwara, Lilwa na Lindi hakikisha umezibanika zinasoko sana maana nikitu cha tofauti kwa hayo maeneo wameshazoea zakuvua kutoka baharini na kukaanga kwaiyo we unawapelekea radha mpya,
Kuna mjamaa mmoja nilikuwa nae yeye soko lake ni Mgagala Dms alikuwa anapiga pesa unajua ni bei rahisi ata kununua kwarejareja mtu anaona nikiwa na Sh. 1,000/= napata samaki 5 kwa sh. 200 mboga ya nyumbani inatosha ata familia ya watu 4
 
Nashukuru sana boss umenipa kitu,vipi kambale nao wanachukua wapi boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nextime njoo Feri hapa unajumua asubuhi jioni unapanda fuso hado Songea
Nashukuru sana, Pia Nafikilia kurudi kwenye iyo biashara inalipa sana ukiwa na laki zako 5 tu kupata Mil.ni jambo la kawaida tena ndani si ziadi ya miezi 2
 
Naomba niulize swali hope utanisaidia, umesema kwamba unampa dalali asilimia 10 ya mauzo yote. Swali langu liko hivi je ukifika sokoni unamuachia dalali mzigo wote then Baadae ndio unafata hela yako? Au unatafuta kibanda unauza ukiwa nae?
 
Naomba niulize swali hope utanisaidia, umesema kwamba unampa dalali asilimia 10 ya mauzo yote. Swali langu liko hivi je ukifika sokoni unamuachia dalali mzigo wote then Baadae ndio unafata hela yako? Au unatafuta kibanda unauza ukiwa nae
unampatia dalali akuuzie maana yeye analeseni ya udalali na analo banda lakuuzia samaki kwaiyo anatambulika na serikali,kwaiyo utachagua mwenyewe umuesabie samaki auze zote badae ukachukue pesa yako au muuze wote kama unamashaka nae.

Makabidhiano yanafanyika pale mpaka samaki zikijulikana za shi. Ngapi ndio ataanza kuuza ila ni wajanja ukizubaa kidogo uliwa pesa yote.
 
Naomba niulize swali hope utanisaidia, umesema kwamba unampa dalali asilimia 10 ya mauzo yote. Swali langu liko hivi je ukifika sokoni unamuachia dalali mzigo wote then Baadae ndio unafata hela yako? Au unatafuta kibanda unauza ukiwa nae?
Una swali lingine?
 
Nahisi sehemu ya Tanzania unayoishi ina polisi wa kipekee. Siongelei mada ya muanzisha uzi pekee bali kwa ujumla. Tanzania ndio nchi pekee Polisi hana mipaka. Polisi wa doria anaweza kujitwika uhamiaji, maliasili, traffic hata uanajeshi pasi na kuwa na uelewa wowote wa hizo field husika. Na ukimshinda kwa vielelezo atakupa kesi yeyote tu si kwa vile una hatia bali kwa vile ana uwezo wa kufanya hivyo. Wengi wanaotoa hongo si kwamba wana hatia bali wanaepuka usumbufu tu.
Polisi ni wasumbufu sana wakishaona kuna harufu yakupata pesa
 
Back
Top Bottom