Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii Biashara kwa miaka hii vipi maana ww umefanya kitambo je inalipa kwa sasa.Ndio mkuu
Hii biashara kwasasa inalipa maana mwaka mwishoni mwa mwaka 2018 magufuli aliingilia kati akasema ruksa kuvuna samaki wachuuzi wasisumbiliwe ila wahakikishe wavuvi wanakuwa na leseni ya uvuvi, kama unakumbuka kipindi kile kulitokea vurugu maziwani watu kupigwa wavuvi kuchomewa nyavu na wachuuzi kutaifishwa, mimi mwenyewe mzigo wangu wa mwisho uliponenea chupuchupu lakini bakora za akari nimekula haswaa.Mkuu hii Biashara kwa miaka hii vipi maana ww umefanya kitambo je inalipa kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani boss mungu akubariki sana,ukiacha mtera maeneo gani mengi mzigo wa samaki unapatikana ,vp kwa dar masoko yapoHii biashara kwasasa inalipa maana mwaka mwishoni mwa mwaka 2018 magufuli aliingilia kati akasema ruksa kuvuna samaki wachuuzi wasisumbiliwe ila wahakikishe wavuvi wanakuwa na leseni ya uvuvi,kama unakumbuka kipindi kile kulitokea vurugu maziwani watu kupigwa wavuvi kuchomewa nyavu na wachuuzi kutaifishwa, mimi mwenyewe mzigo wangu wa mwisho uliponenea chupuchupu lakini bakora za akari nimekula haswaa,
Ukitaka ikulipe nenda mwenyewe direct kwasabu kule samaki mmoja ukiuziwa sh. 50 basi ujue sokoni unakuja kumuuza sh. 200 mara 3 yake ni faida ukitaka unaweza kuzikaanga na mafuta na kuna mbinu za kuzifanya zikae mda mrefu ata kama ni za kukaanga
Zipo sehemu nyingi samaki wanapatika kuna Ziwa Rukwa, Na bwawa moja linaitwa shimo la mungu nako samaki zake kama za mtera itategemea unataka samaki wa ziwa au wa bahari lakini kama ukipeleka miji yenye bahari mf. Dsm, Mtwara, Lilwa na Lindi hakikisha umezibanika zinasoko sana maana nikitu cha tofauti kwa hayo maeneo wameshazoea zakuvua kutoka baharini na kukaanga kwaiyo we unawapelekea radha mpya,Shukrani boss mungu akubariki sana,ukiacha mtera maeneo gani mengi mzigo wa samaki unapatikana ,vp kwa dar masoko yapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana boss umenipa kitu,vipi kambale nao wanachukua wapi bossZipo sehemu nyingi samaki wanapatika kuna Ziwa Rukwa, Na bwawa moja linaitwa shimo la mungu nako samaki zake kama za mtera itategemea unataka samaki wa ziwa au wa bahari lakini kama ukipeleka miji yenye bahari mf. Dsm, Mtwara, Lilwa na Lindi hakikisha umezibanika zinasoko sana maana nikitu cha tofauti kwa hayo maeneo wameshazoea zakuvua kutoka baharini na kukaanga kwaiyo we unawapelekea radha mpya,
Kuna mjamaa mmoja nilikuwa nae yeye soko lake ni Mgagala Dms alikuwa anapiga pesa unajua ni bei rahisi ata kununua kwarejareja mtu anaona nikiwa na Sh. 1,000/= napata samaki 5 kwa sh. 200 mboga ya nyumbani inatosha ata familia ya watu 4
Kambale kwa wingi wanapatika Rukwa na Mtera lakini kwa zile kambi ambazo zipo mkoani Dodoma, lile bwawa ni kubwa kwaiyo lipo Mpakani mwa Iringa na DodomaNashukuru sana boss umenipa kitu,vipi kambale nao wanachukua wapi boss
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru bossKambale kwa wingi wanapatika Rukwa na Mtera lakini kwa zile kambi ambazo zipo mkoani Dodoma, lile bwawa ni kubwa kwaiyo lipo Mpakani mwa Iringa na Dodoma
Shukrani bossKama unaiitaji iyo biashara endelea kufanya uchambuzi maeneo uliyopo kama zipo waulize wauzaji wanazipataje
unampatia dalali akuuzie maana yeye analeseni ya udalali na analo banda lakuuzia samaki kwaiyo anatambulika na serikali,kwaiyo utachagua mwenyewe umuesabie samaki auze zote badae ukachukue pesa yako au muuze wote kama unamashaka nae.Naomba niulize swali hope utanisaidia, umesema kwamba unampa dalali asilimia 10 ya mauzo yote. Swali langu liko hivi je ukifika sokoni unamuachia dalali mzigo wote then Baadae ndio unafata hela yako? Au unatafuta kibanda unauza ukiwa nae
Una swali lingine?Naomba niulize swali hope utanisaidia, umesema kwamba unampa dalali asilimia 10 ya mauzo yote. Swali langu liko hivi je ukifika sokoni unamuachia dalali mzigo wote then Baadae ndio unafata hela yako? Au unatafuta kibanda unauza ukiwa nae?
Polisi ni wasumbufu sana wakishaona kuna harufu yakupata pesaNahisi sehemu ya Tanzania unayoishi ina polisi wa kipekee. Siongelei mada ya muanzisha uzi pekee bali kwa ujumla. Tanzania ndio nchi pekee Polisi hana mipaka. Polisi wa doria anaweza kujitwika uhamiaji, maliasili, traffic hata uanajeshi pasi na kuwa na uelewa wowote wa hizo field husika. Na ukimshinda kwa vielelezo atakupa kesi yeyote tu si kwa vile una hatia bali kwa vile ana uwezo wa kufanya hivyo. Wengi wanaotoa hongo si kwamba wana hatia bali wanaepuka usumbufu tu.