Jinsi Bikra Maria alivyompa mtihani kiongozi wa Kanisa, Nabii Zakaria..

Hivi nyie watu mnasoma Bible ipi hadi leo mnasema Bikra Maria! Basi Mama ngu ni Bikra bado kwani alinizaa na ka endelea kuzaa , upo wapi Ubikra wa Maria wakati aliendelea kuzaa na Joseph kwa kawaida tu hamjui kuwa YESU anao Ndugu wa Damu kwa Maria?
 
Maria kaendelea kuzaa na Joseph? Hapana.

Yesu anao ndugu kwa upande wa baba, mzee Joseph.

Ubikira wa Maria unabaki ule wa kutoingiliwa kabisa na mwanaume mpaka kufa kwake. Ule wa kimaumbile ulitoka alipojifungua.

Jiongeze!
 
Huyu uliyemsema hapa ni Maria? I thought Mariam but again tukubaliane mapema, aliyemzaa Yesu anaitwa Mariam na sio Maria na huyu ni kweli alikua BIKIRA ambaye alikua na uhusiano wa kindugu na mke wa Kuhani Zakaria. Mengi ulioyaandika ukweli hayapo kabisa katika Biblia so nazidi kushawishika kuamini kwamba Mariam na Maria ni watu 2 tofauti maana hata wazazi wao pia (kulingana na maandishi yako) wapo tofauti. Ni sawa na Waislamu ambavyo hua wanam describe nabii Issa na kusema ndio Yesu, utagundua pia ni "manabii" 2 tofauti kabisa, maanake Issa alizalwa chini ya mtende, Yesu kazaliwa kwenye zizi la ng'ombe ile sehemu ya kulishia hao ng'ombe. Binafsi nimependa sana mjadara wako but nilikua nakushauri kitu kidogo, please jenga urafiki na Biblia, utayajua mengi.
 
Nabii Zekaria aliishi miaka 500 kabla ya Yesu kuja dunia. Tofautisha kati ya kuhani na nabii.
 
Nabii Zekaria aliishi miaka 500 kabla ya Yesu kuja dunia. Tofautisha kati ya kuhani na nabii.
Unataka kusema nini?

Kwamba Nabii Zakaria siye baba wa Yohanna, nduguye na Yesu? Au hufahamu kwamba Yesu na Yohanna hawakupishana sana umri?

Hivi uajua kuwa Manabii wengi walirithi Unabii kutoka kwa Baba zao?

Nahisi sijaelewa unataka kusema nini.
 
hivi kanisa na maria nani wa kwanza kuzaliwa, maana kwa uelewa wangu huyu akilelewa ktk sinagogi ambayo ni sehemu takatifu kwa imani yao wakati huo. je kipi sahihi kanisa au sinangogi naomba ufafanuzi
 
Guido Reni - St Joseph with the Infant Jesus - WGA19304
 
hivi kanisa na maria nani wa kwanza kuzaliwa, maana kwa uelewa wangu huyu akilelewa ktk sinagogi ambayo ni sehemu takatifu kwa imani yao wakati huo. je kipi sahihi kanisa au sinangogi naomba ufafanuzi
Swali zuri.

Mfumo wa Kanisa umerithi ule wa Masinagogi. Hata misikiti pia. Yaani ni lile kusanyiko la watu mahala pamoja (jengo, hekalu) kwa ajili ya ibada.

Enzi za Maria, viongozi wa mahekalu walikuwa wanaitwa Makuhani ambao siku hizi wanaitwa Wachungaji.

Inawezekana kuna maelezo mazuri zaidi ya haya!
 
Mzee Zakaria alikuwa kuhani na nabii au kuhani tu?
Alikuwa Kuhani. Inadaiwa alikuwa Nabii pia kwa kigezo cha ushirika wake na Mungu hata akamtumia Malaika kumbashiria atapata mtoto wa uzeeni.

Ukihusisha na nyakati za sasa, utaona hata baadhi ya wachungaji wanatambulika kama manabii. That may help to contextualize.
 
je unakubaliana na mimi kuwa Maria akilelewa katika sinagogi
 
je unakubaliana na mimi kuwa Maria akilelewa katika sinagogi
Hekaluni, Sinagogini, Msikitini yote ni yale yale. Point muhimu ni alilelewa kwenye nyumba ya ibada.

Mfumo wa malezi aliyopata, unafanana sana na mfumo wa malezi ya watoto katika Kanisa la Roman Catholic kwa zama hizi tulizonazo sasa!
 
UMEIOKOTA WAPI HII HABARI?? Maana kwenye biblia haipo labda vitabu vingine vya dini zingine ila sio ukristo maana haipo katika hivyo vitabu,labda ni story yako ka kubuni tu umejiskia kutunga utakavyo wewe?!
 
Ni kweli mkuu.

Biblia haikuandika kila kitu lakini imeruhusu rejea ya habari zake mbalimbali kwenye maandiko mengine.

Seriously ulitarajia mambo yote yaandikwe kwenye Biblia? Yangetosha?

Yaliyomo kwenye Biblia ni summary.
 
This is humility. Great!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…