Jinsi carryover ya mwaka wa kwanza ilivyotaka kunisababisha nisi-graduate chuo

Jinsi carryover ya mwaka wa kwanza ilivyotaka kunisababisha nisi-graduate chuo

Mwaka wa kwanza chuoni niliikuta hii course katika harakati za hapa na pale nikapata coursework ya 11/40 kupiga UE nikala mzinga. Kufanya sup ikanishinda nikacarry.

Mwaka wa pili nikawa natumia uzoefu kuisoma hii course darasani siingii. Lahaula coursework kutoka nina 9/40 kufanya UE sikuchomoa. July mwishoni nikaripoti field muda wa kusoma hakuna kushituka September hio kufanya sup sikuchomoa ikabidi nicarry tena (Kimoyo moyo nikajisemea next time nitaipiga KO kwenye UE tu 🤣 ngoja niikamie)

Mwaka wa mwisho mambo yakazidi kuwa mengi zaidi research na course zikawa nyingi nikajikuta narudia yale yale makosa nikawa siingii class coursework kutoka ikasoma 8/40 kupiga UE nikafeli tena kumfata Lecturer alikua mmama akaniambia yani wewe ujikaze tu kwa coursework hiyo sidhani kama utatoboa".

July-September nilisoma kama kichaa sikuwahi soma hivi kabla soma sana vitabu, articles,zurura sana YouTube nikapiga pepa la sup Septemba nikatoboa matokeo kuja nina C nikagraduate.

Sikuwahi kufeli somo lingine zaidi ya hili katika maisha ya chuoni lakini nikiri hili somo lilinipeleka mpela mpela kila nikikumbuka sina hamu tena na kusoma.

Kitu nilichojifunza: Kosa kubwa nililolifanya ni kuruhusu kufeli sup na kubeba somo kwenda nalo mwaka unaofuata nikidhani nitapata muda wa kulisoma wakati ni tofauti kabisa muda unakuwa mdogo na mambo yanazidi kuwa mengi.
Ungekuwa Muhimbili wangekuwa washakula kichwa.
 
CoNAS hio mkuu. UDSM college wanaozingatia coursework ya kuingia UE lazima iwe 16 ni za COSS,COHU na SOED ila kwa ugumu wa kozi college za COET na CONAS hio haiapply ukiwa na coursework chini ya 16 unaingia UE wangesema waweke kigezo cha kuingia UE lazima uwe na above 16 wanafunzi wengi wangekua wana carryover sababu baadhi ya masomo unakuta nusu ya darasa wanapata coursework za
Mfano kuna wahadhiri wenyewe kila mwaka ukiangalia coursework wanazotoa hakuna mwanafunzi anayepata coursework juu ya 16 kwa darasa zima na mkifanya UE robo tatu ya darasa mmesup shida sio kwamba hamkuelewa course bali wanatunga mitihani migumu ambayo ni ngumu kutoboa
Yess ndo nilitakaa kuelezea hii hapa.
 
Mi naona sio ugumu wa course ila ni ugumu wa malecturer. Kozi kama hizohizo za coet & conas vyuo vingine mbona wanapata coursework 40% kawaida tuu.

Lecturers wa public universities za bongo ni wazinguzi sana. Halafu unakuta anafundisha na vyuo vya private ambako hazingui kama huku public. Hakuna chuo cha private kitakuchekea endapo utasubmit matokeo ambayo nusu ya wanafunzi wamefeli.
 
Umeongea ukweli malecturer wa public unis wanaona sifa kufelisha wanafunzi
 
CoNAS hio mkuu. UDSM college wanaozingatia coursework ya kuingia UE lazima iwe 16 ni za COSS,COHU na SOED ila kwa ugumu wa kozi college za COET na CONAS hio haiapply ukiwa na coursework chini ya 16 unaingia UE wangesema waweke kigezo cha kuingia UE lazima uwe na above 16 wanafunzi wengi wangekua wana carryover sababu baadhi ya masomo unakuta nusu ya darasa wanapata coursework za <16 wengine hadi single digit

Mfano kuna wahadhiri wenyewe kila mwaka ukiangalia coursework wanazotoa hakuna mwanafunzi anayepata coursework juu ya 16 kwa darasa zima na mkifanya UE robo tatu ya darasa mmesup shida sio kwamba hamkuelewa course bali wanatunga mitihani migumu ambayo ni ngumu kutoboa
Hata Udom kuna college kama Earth Science and Engineering, miaka ile course work ya 16 ilikuwa haizingatiwi sana make mziki ni "mziki mnene" kama wa EFM
 
yaani unacarry mara mbili na bado unaendelea kuwa mwanafunzi?hicho chuo wanatumia system ama inakuaje make mi najua ukicarry mara mbili system inakukataa
Humu ndani mnatiana pressure za bure ku carry mara mbili sio shida wala mtu hawezi disco labda kama GPA yake iwe ndogo sana ndio anaweza disco tofauti na hapo ni uongo vijana someni vizuri hizo prospectus za vyuo vyenu
 
Si ndio hapo mkuu mimi japo nilicarry mara 2 ila sijawahi kupata sup ya somo lingine na GPA haikuwahi kushuka chini ya 3.5
 
Sio tu uki carry zaidi ya mara moja.
Hata hiyo course work yako ya under 16 usingefanya UE.
Kuna vyuo kwenye hii nchi, ni kama wako vitani
Hata sisi chuo course work chini ya 10 kwa masomo mengine na 15 kwa core subject ni technical sup. Hata UE upate 100% bado utakua umesup tu.

Nimeshangaa jamaa ana coursework ya 8 na bado anapambana UE eti atatoboa.

Vyuo vinatofautiana sana
 
Back
Top Bottom