Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Sasa kwann u carry?Mapenzi na carryover wapi na wapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwann u carry?Mapenzi na carryover wapi na wapi mkuu
Nilicarry sababu sikufaulu sup🤣🤣🤣🤣Sasa kwann u carry?
Usipoendekeza mapenzi chuo kamwe huwezi kufeli/kupata sup.Nilicarry sababu sikufaulu sup🤣🤣🤣🤣
Kucarry inamaanisha huwek mkazo kweny shule,starehe zlikuzidiNilicarry sababu sikufaulu sup🤣🤣🤣🤣
Wanasema chuo mapenz fashion, either uwe umepitw na wakatiUsipoendekeza mapenzi chuo kamwe huwezi kufeli/kupata sup.
KwambaMwaka wa kwanza chuoni niliikuta hii course katika harakati za hapa na pale nikapata coursework ya 11/40 kupiga UE nikala mzinga. Kufanya sup ikanishinda nikacarry.
Mwaka wa pili nikawa natumia uzoefu kuisoma hii course darasani siingii. Lahaula coursework kutoka nina 9/40 kufanya UE sikuchomoa. July mwishoni nikaripoti field muda wa kusoma hakuna kushituka September hio kufanya sup sikuchomoa ikabidi nicarry tena (Kimoyo moyo nikajisemea next time nitaipiga KO kwenye UE tu 🤣 ngoja niikamie)
Mwaka wa mwisho mambo yakazidi kuwa mengi zaidi research na course zikawa nyingi nikajikuta narudia yale yale makosa nikawa siingii class coursework kutoka ikasoma 8/40 kupiga UE nikafeli tena kumfata Lecturer alikua mmama akaniambia "yani wewe ujikaze tu kwa coursework hiyo sidhani kama utatoboa".
July-September nilisoma kama kichaa sikuwahi soma hivi kabla soma sana vitabu, articles,zurura sana YouTube nikapiga pepa la sup Septemba nikatoboa matokeo kuja nina C nikagraduate.
Sikuwahi kufeli somo lingine zaidi ya hili katika maisha ya chuoni lakini nikiri hili somo lilinipeleka mpela mpela kila nikikumbuka sina hamu tena na kusoma.
Kitu nilichojifunza: Kosa kubwa nililolifanya ni kuruhusu kufeli sup na kubeba somo kwenda nalo mwaka unaofuata nikidhani nitapata muda wa kulisoma wakati ni tofauti kabisa muda unakuwa mdogo na mambo yanazidi kuwa mengi.
kwa logic yako walio sup wote hawakuwa serious? au ni vilaza in a certain way? Au mapenzi? Kufeli kunasababishwa na sababu mbalimbali watu wanapenzika wanakula bata na kufeli hawafeli bro wakati wapo ambao wanakua serious na kitabu 24/7 na bado wanasup/carry wanashindwa na wala bata hadi GPAUsipoendekeza mapenzi chuo kamwe huwezi kufeli/kupata sup.
Kufeli kunasababishwa na factor nyingi japo hiyo uliyoitaja pia imoKucarry inamaanisha huwek mkazo kweny shule,starehe zlikuzidi
Halafu mkisikia nafasi za lecturer mnaomba mnatumbua kwenye shortling 😡😡😡Mwaka wa kwanza chuoni niliikuta hii course katika harakati za hapa na pale nikapata coursework ya 11/40 kupiga UE nikala mzinga. Kufanya sup ikanishinda nikacarry.
Mwaka wa pili nikawa natumia uzoefu kuisoma hii course darasani siingii. Lahaula coursework kutoka nina 9/40 kufanya UE sikuchomoa. July mwishoni nikaripoti field muda wa kusoma hakuna kushituka September hio kufanya sup sikuchomoa ikabidi nicarry tena (Kimoyo moyo nikajisemea next time nitaipiga KO kwenye UE tu 🤣 ngoja niikamie)
Mwaka wa mwisho mambo yakazidi kuwa mengi zaidi research na course zikawa nyingi nikajikuta narudia yale yale makosa nikawa siingii class coursework kutoka ikasoma 8/40 kupiga UE nikafeli tena kumfata Lecturer alikua mmama akaniambia "yani wewe ujikaze tu kwa coursework hiyo sidhani kama utatoboa".
July-September nilisoma kama kichaa sikuwahi soma hivi kabla soma sana vitabu, articles,zurura sana YouTube nikapiga pepa la sup Septemba nikatoboa matokeo kuja nina C nikagraduate.
Sikuwahi kufeli somo lingine zaidi ya hili katika maisha ya chuoni lakini nikiri hili somo lilinipeleka mpela mpela kila nikikumbuka sina hamu tena na kusoma.
Kitu nilichojifunza: Kosa kubwa nililolifanya ni kuruhusu kufeli sup na kubeba somo kwenda nalo mwaka unaofuata nikidhani nitapata muda wa kulisoma wakati ni tofauti kabisa muda unakuwa mdogo na mambo yanazidi kuwa mengi.
Napiga mishe zingine tu maisha yanasonga kidogo kidogoKazi umeshapata tayar
Sup hazikwepeki ni sehemu ya maisha ya chuoniSup/probation ni kawaida sana chuoni.
Kwenye crew yetu hapo SUA ilikua huwezi kutukosa Mazimbu a.k.a September Conference kwenye Probation
Ulijifanya kuendekeza mapenzi.kwa logic yako walio sup wote hawakuwa serious? au ni vilaza in a certain way? Au mapenzi? Kufeli kunasababishwa na sababu mbalimbali watu wanapenzika wanakula bata na kufeli hawafeli bro wakati wapo ambao wanakua serious na kitabu 24/7 na bado wanasup/carry wanashindwa na wala bata hadi GPA
Kweli unapenda "mlolongo" geniusUlijifanya kuendekeza mapenzi.
Yah nakubaliana na wewe inategemea na kichwa kwa wakati husika, if ngoma Moto kutoboa ngumuKufeli kunasababishwa na factor nyingi japo hiyo uliyoitaja pia imo
Coed vipi nasikia wao ni Bata tu hakuna sup wala carry!Pole sana. Wakati nasoma undergraduate roommate wangu first year alikua anasoma UDBS HR akitokea HKL. Mziki wa UDBS sio poa picha linaanza semester ya kwanza tu mwanangu aliliwa kichwa alikua ana sup nne na GPA ya 1.8 umenikumbusha mbali sana jamaa ilibidi arudie UDOM akasome PSPA ukitamjia mambo ya uchumi mnaweza gombana hataki kuyasikia tena
Wenyewe bata darasani waweza wakuta wapo walimu kama 900 wanasomea venue za yombo ukisema uwakazie utaleta jam chuoni. Wale jamaa wanakula bata aiseeCoed vp naskia wao ni Bata tu hakna sup Wala carry!
Kuna mwamba yeye hatoi A kabisa kwenye somo lake unakuta watu wawili au mmoja ana B+ then B kama 4 , C kama 8 the rest wamesup kabisa yaani mkifanya pepa anakamata robo 3 ya darasa. Kuna mwaka dogo mmoja akapiga A babu ikabidi asahihishe pepa la dogo mara 3 anaangalia makosa ili amkate (story alituhadithia mwenyewe) ila hakuyapata ikabidi ampe dogo A yake hawa wazee watakuja kuua watuYah nakubaliana na wew inategemea na kichwa kw wakati husika ,if ngoma Moto kutoboa ngumu