Jinsi carryover ya mwaka wa kwanza ilivyotaka kunisababisha nisi-graduate chuo

Mwaka wa kwanza chuoni niliikuta hii course katika harakati za hapa na pale nikapata coursework ya 11/40 kupiga UE nikala mzinga. Kufanya sup ikanishinda nikacarry.

Mwaka wa pili nikawa natumia uzoefu kuisoma hii course darasani siingii. Lahaula coursework kutoka nina 9/40 kufanya UE sikuchomoa. July mwishoni nikaripoti field muda wa kusoma hakuna kushituka September hio kufanya sup sikuchomoa ikabidi nicarry tena (Kimoyo moyo nikajisemea next time nitaipiga KO kwenye UE tu 🤣 ngoja niikamie)

Mwaka wa mwisho mambo yakazidi kuwa mengi zaidi research na course zikawa nyingi nikajikuta narudia yale yale makosa nikawa siingii class coursework kutoka ikasoma 8/40 kupiga UE nikafeli tena kumfata Lecturer alikua mmama akaniambia "yani wewe ujikaze tu kwa coursework hiyo sidhani kama utatoboa".

July-September nilisoma kama kichaa sikuwahi soma hivi kabla soma sana vitabu, articles,zurura sana YouTube nikapiga pepa la sup Septemba nikatoboa matokeo kuja nina C nikagraduate.

Sikuwahi kufeli somo lingine zaidi ya hili katika maisha ya chuoni lakini nikiri hili somo lilinipeleka mpela mpela kila nikikumbuka sina hamu tena na kusoma.

Kitu nilichojifunza: Kosa kubwa nililolifanya ni kuruhusu kufeli sup na kubeba somo kwenda nalo mwaka unaofuata nikidhani nitapata muda wa kulisoma wakati ni tofauti kabisa muda unakuwa mdogo na mambo yanazidi kuwa mengi.
Kwamba

Remarks:-carryover ZL 210 physiology anatomy i
 
Usipoendekeza mapenzi chuo kamwe huwezi kufeli/kupata sup.
kwa logic yako walio sup wote hawakuwa serious? au ni vilaza in a certain way? Au mapenzi? Kufeli kunasababishwa na sababu mbalimbali watu wanapenzika wanakula bata na kufeli hawafeli bro wakati wapo ambao wanakua serious na kitabu 24/7 na bado wanasup/carry wanashindwa na wala bata hadi GPA
 
Halafu mkisikia nafasi za lecturer mnaomba mnatumbua kwenye shortling 😡😡😡
 
kwa logic yako walio sup wote hawakuwa serious? au ni vilaza in a certain way? Au mapenzi? Kufeli kunasababishwa na sababu mbalimbali watu wanapenzika wanakula bata na kufeli hawafeli bro wakati wapo ambao wanakua serious na kitabu 24/7 na bado wanasup/carry wanashindwa na wala bata hadi GPA
Ulijifanya kuendekeza mapenzi.
 
Pole sana. Wakati nasoma undergraduate roommate wangu first year alikua anasoma UDBS HR akitokea HKL. Mziki wa UDBS sio poa picha linaanza semester ya kwanza tu mwanangu aliliwa kichwa alikua ana sup nne na GPA ya 1.8 umenikumbusha mbali sana jamaa ilibidi arudie UDOM akasome PSPA ukitamjia mambo ya uchumi mnaweza gombana hataki kuyasikia tena
Coed vipi nasikia wao ni Bata tu hakuna sup wala carry!
 
Yah nakubaliana na wew inategemea na kichwa kw wakati husika ,if ngoma Moto kutoboa ngumu
Kuna mwamba yeye hatoi A kabisa kwenye somo lake unakuta watu wawili au mmoja ana B+ then B kama 4 , C kama 8 the rest wamesup kabisa yaani mkifanya pepa anakamata robo 3 ya darasa. Kuna mwaka dogo mmoja akapiga A babu ikabidi asahihishe pepa la dogo mara 3 anaangalia makosa ili amkate (story alituhadithia mwenyewe) ila hakuyapata ikabidi ampe dogo A yake hawa wazee watakuja kuua watu
 
Back
Top Bottom