Jinsi carryover ya mwaka wa kwanza ilivyotaka kunisababisha nisi-graduate chuo

Jinsi carryover ya mwaka wa kwanza ilivyotaka kunisababisha nisi-graduate chuo

Conas,coet na coict haiapply ila first year kweny CL111 Ina apply asije dogo akajichanganya😂😂
CL mziki mwingine🤣. Walimu wa COHU walikua wanasema eti CL ya COET na UDBS na COICT inakua sio ngumu kama yao eti maswali ya CL ya COHU yanakuaga magumu zaidi?
 
Haha nlkua na sup nne mwaka wa mwisho. 2 za semester 1 ya 3rd yr mbili za carry over za 2nd yr. Ile week sijui niltokaje TU .all in all sijui kwnini waliamua kututenga graduation ..wenye sup ikawa november uko...
...
 
Maisha ya chuo ni safari ndefu sana.Elimu yangu ya O level na Advance hazikuwahi nipa shida.Ila ya chuo nikiri kusema nimestruggle sana kumaliza.

Nilidisco nikiwa mwaka wa kwanza semister ya kwanza!!Sikukata tamaa niliapply tena course hiyo hiyo mwaka unaofuata na nikafanikiwa kupata!!

Awamu ya Pili nielienda vema kabisa,ikafika mwaka wa 3 ndo balaa likarudii..semister ya 1 nikapata supp moja na semister ya pili nikalamba supp 4!!

Kiukweli sikumbuki kilitokea nini,ila mwisho wa siku nilichoma 4..moja nikacarry na hatimae nikahitimu mwaka uliofuata!!

Nilichojifunza Shule kuna mda inaweza kukutemaa!!
 
Kuna mwamba yeye hatoi A kabisa kwenye somo lake unakuta watu wawili au mmoja ana B+ then B kama 4 , C kama 8 the rest wamesup kabisa yaani mkifanya pepa anakamata robo 3 ya darasa. Kuna mwaka dogo mmoja akapiga A babu ikabidi asahihishe pepa la dogo mara 3 anaangalia makosa ili amkate (story alituhadithia mwenyewe) ila hakuyapata ikabidi ampe dogo A yake hawa wazee watakuja kuua watu
Ni was***nge sana ndo maana nasoma private zinazojielewa malecturer washkaji hivyo vizee vinataka [emoji383] kwa midume au pussy kwa jike zikojoe ilihali afya+nguvu za kiume hawana its a pity [emoji23][emoji23][emoji2961]
 
Haha nlkua na sup nne mwaka wa mwisho. 2 za semester 1 ya 3rd yr mbili za carry over za 2nd yr. Ile week sijui niltokaje TU .all in all sijui kwnini waliamua kututenga graduation ..wenye sup ikawa november uko...
...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maisha ya chuo ni safari ndefu sana.Elimu yangu ya O level na Advance hazikuwahi nipa shida.Ila ya chuo nikiri kusema nimestruggle sana kumaliza.

Nilidisco nikiwa mwaka wa kwanza semister ya kwanza!!Sikukata tamaa niliapply tena course hiyo hiyo mwaka unaofuata na nikafanikiwa kupata!!

Awamu ya Pili nielienda vema kabisa,ikafika mwaka wa 3 ndo balaa likarudii..semister ya 1 nikapata supp moja na semister ya pili nikalamba supp 4!!

Kiukweli sikumbuki kilitokea nini,ila mwisho wa siku nilichoma 4..moja nikacarry na hatimae nikahitimu mwaka uliofuata!!

Nilichojifunza Shule kuna mda inaweza kukutemaa!!
Mi shule ilinitema advance tuuuuuu

Chuo ni [emoji473][emoji473][emoji473][emoji473][emoji473] in Gods grace

Kila mtu na muda wake bwana
 
Masters na umeolewa ama kweli we ni fanta si coca
Hivi wee uko timamuuuu?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukikuaa utaacha, masta ni mbayaa sana, hasa ikikoleaa. Poleeee.
 
Back
Top Bottom