Graduation si ndo zinakua November? Au wee ulimaliza mwaka gan?Haha nlkua na sup nne mwaka wa mwisho. 2 za semester 1 ya 3rd yr mbili za carry over za 2nd yr. Ile week sijui niltokaje TU .all in all sijui kwnini waliamua kututenga graduation ..wenye sup ikawa november uko...
...
Unadhani sioni comment zako humu au unaniona mtoto mdogo eeeeh nakuona unavyojirusha rusha kwenye thread kucheza na akili za watu 🤣🤯 sio wote utawadanganya sprite weweHivi wee uko timamuuuu?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukikuaa utaacha, masta ni mbayaa sana, hasa ikikoleaa. Poleeee.
2021.. zilfanyika October, walokua na sup, special exams Nov 22nd ilkua.Graduation si ndo zinakua November? Au wee ulimaliza mwaka gan?
Hongera kwa kuchomoa sup 4 mkuu hakika wewe ni legend 🤣Haha nlkua na sup nne mwaka wa mwisho. 2 za semester 1 ya 3rd yr mbili za carry over za 2nd yr. Ile week sijui niltokaje TU .all in all sijui kwnini waliamua kututenga graduation ..wenye sup ikawa november uko...
...
Hongera kwa kuhitimu chuo mkuu ukiwa na nia na ukafanya jitihada utayafikia malengo yako tu japo inaweza kuwa kwa kuchelewa💪 hakika wewe ni mshindi.Maisha ya chuo ni safari ndefu sana.Elimu yangu ya O level na Advance hazikuwahi nipa shida.Ila ya chuo nikiri kusema nimestruggle sana kumaliza.
Nilidisco nikiwa mwaka wa kwanza semister ya kwanza!!Sikukata tamaa niliapply tena course hiyo hiyo mwaka unaofuata na nikafanikiwa kupata!!
Awamu ya Pili nielienda vema kabisa,ikafika mwaka wa 3 ndo balaa likarudii..semister ya 1 nikapata supp moja na semister ya pili nikalamba supp 4!!
Kiukweli sikumbuki kilitokea nini,ila mwisho wa siku nilichoma 4..moja nikacarry na hatimae nikahitimu mwaka uliofuata!!
Nilichojifunza Shule kuna mda inaweza kukutemaa!!
Oyaa nmeingia kufanya cl nakuta ad Kuna maswali yanA marks 0.25 paper refu kinyamaCL mziki mwingine🤣. Walimu wa COHU walikua wanasema eti CL ya COET na UDBS na COICT inakua sio ngumu kama yao eti maswali ya CL ya COHU yanakuaga magumu zaidi?
Sua kuna ukundula mwingiSitaki kukumbuka kabisaa,ile niseme maneno machache tu,"chuo cha SUA ni kama mzazi ambae anampenda sana binti yake ila hataki aolewe"..walitaka kubaki na Mimi milele[emoji119][emoji23]
Wee dogo mbna una makasiriko na mie?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani sioni comment zako humu au unaniona mtoto mdogo eeeeh nakuona unavyojirusha rusha kwenye thread kucheza na akili za watu [emoji1787][emoji2962] sio wote utawadanganya sprite wewe
Oooh hapo sawaa.2021.. zilfanyika October, walokua na sup, special exams Nov 22nd ilkua.
🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌Oyaa nmeingia kufanya cl nakuta ad Kuna maswali yanA marks 0.25 paper refu kinyama
Unafikiri wanaosup wote walikua hawasomi genius?Mnapata supp hamsomi au
SUA wahuni wale maprof🤣Sitaki kukumbuka kabisaa,ile niseme maneno machache tu,"chuo cha SUA ni kama mzazi ambae anampenda sana binti yake ila hataki aolewe"..walitaka kubaki na Mimi milele[emoji119][emoji23]
Udom huwezi Cary mara mbili halafu kwa hiyo course work asingefanya hataLazima itakuwa Udom hapo
AiseeUdom huwezi Cary mara mbili halafu kwa hiyo course work asingefanya hata
U.E alivyo para course work ya 8/40 kwa UDOM hapo ilikua disco
Yaani mnavyozungumzia kuchomoa supp ni kama kitu kiguumu ambacho hakiwezekani.Hongera kwa kuchomoa sup 4 mkuu hakika wewe ni legend 🤣
Sio UDOM tu, hata hizi public Institute nyingi, hilo swala haliwezekani.Udom huwezi Cary mara mbili halafu kwa hiyo course work asingefanya hata
U.E alivyo para course work ya 8/40 kwa UDOM hapo ilikua disco
Hujawahi kupata sup kwa hiyo huwezi jua what others experience during "September conference". Kama walimu wangekua wanalegeza basi pangekuwa hamna wenye carryover mkuu. Mkifanya sup exam pepa linatungwa upya na ukizingua unabeba kozi hakuna kulegezewa so mtu ukichomoa sup lazima ujipongeze mkuuYaani mnavyozungumzia kuchomoa supp ni kama kitu kiguumu ambacho hakiwezekani.
Ni hivi walimu wengi wakuda hulegeza kipindi hiki, kwa sababu lengo lao huwa limetimia kwa sababu kwa namna yoyote na kwa alama yoyote atakaye-pass supp atakuana na alama "equivalent to C" bila kujali marks atazopata katika mtihanibwa supp.
We unashangaa carry over, hushangai carry over yake ya miaka miwili mkuu?Hujawahi kupata sup kwa hiyo huwezi jua what others experience during "September conference". Kama walimu wangekua wanalegeza basi pangekuwa hamna wenye carryover mkuu. Mkifanya sup exam pepa linatungwa upya na ukizingua unabeba kozi hakuna kulegezewa so mtu ukichomoa sup lazima ujipongeze mkuu