Maisha ya chuo ni safari ndefu sana.Elimu yangu ya O level na Advance hazikuwahi nipa shida.Ila ya chuo nikiri kusema nimestruggle sana kumaliza.
Nilidisco nikiwa mwaka wa kwanza semister ya kwanza!!Sikukata tamaa niliapply tena course hiyo hiyo mwaka unaofuata na nikafanikiwa kupata!!
Awamu ya Pili nielienda vema kabisa,ikafika mwaka wa 3 ndo balaa likarudii..semister ya 1 nikapata supp moja na semister ya pili nikalamba supp 4!!
Kiukweli sikumbuki kilitokea nini,ila mwisho wa siku nilichoma 4..moja nikacarry na hatimae nikahitimu mwaka uliofuata!!
Nilichojifunza Shule kuna mda inaweza kukutemaa!!