Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
- #21
Kinga ni bora kuliko tiba!Ghana, Nigeria, Kenya, Malawi, Tunisia, mbona hatujaona chui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinga ni bora kuliko tiba!Ghana, Nigeria, Kenya, Malawi, Tunisia, mbona hatujaona chui?
Ukisoma history vizuri suala la Chama tawala na chama cha upinzani ni fikra za kutokujua uhalisia wa mambo.Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety".
"I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu told the BBC's Newsday programme.
"I'm facing the consequences of returning to politics and I'm ready for it," he added.
Police have denied claims of planning to ambush the former leader at night.
N. B, Tunajifunza nini hapa!
Nimeiona post yako nikataka kuandika jambo flani ila nimejizuia kuliandika.ndio maana intellectuals tunaimba everyday, kwamba lazima ifike mahali kama Taifa, vyama vya siasa wawapike vizuri young professionals and visionary political leaders wa kutosha, ili kusaidia kuitransfom inchi into prosperous, kijamii kisiasa na kiuchumi 🐒
sasa hii habari ya kupika vijana wawe na mihemko na kutukana tu, anapotofautiana hoja au maoni na watu wengine haitasaidia chochote 🐒
bora umejizuia maana ingekua kujinyonga tungekua tumepoteza nguvu kazi ya Taifa kwa post moja tu JF....Nimeiona post yako nikataka kuandika jambo flani ila nimejizuia kuliandika.
Chama kinachoendesha nchi ndicho chama tawala kwa wakati huo, kilichopo nje ndicho cha upinzani, sikumaanisha chama kile kilichodai uhuru na kuongoza.Ukisoma history vizuri suala la Chama tawala na chama cha upinzani ni fikra za kutokujua uhalisia wa mambo.
![]()
President of Zambia - Wikipedia
en.wikipedia.org
Ukipitia Wikipedia ya office holders utaona toka Kaunda mpaka sasa Zambia imepitia mabadiliko ya vyama vinee.
Hivyo kuna haja ya kufanya homework kabla ya kusema Edgar Lungu anateswa na upinzani,.maana hata muasisi wa chama cha Lungi hakuwa chama tawala wakati Zambia inapata uhuru.
Yeye amesahau wakati yuko madarakani alivyokuwa akimtesa HH? Na badoooo!Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety".
"I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu told the BBC's Newsday programme.
"I'm facing the consequences of returning to politics and I'm ready for it," he added.
Police have denied claims of planning to ambush the former leader at night.
N. B, Tunajifunza nini hapa!
Yapo mambo yakiachwa kuendelea yatasababisha demokrasia kuwa ngumu barani Afrika, ni lazima uwepo utaratibu bora utakaohakikisha kutoka madarakani na kuingia tena haliwi jambo la hatari kwa pande zote mbili, haya nayo ni ya kuongeza katika katiba mpya ijayo, (Tusikurupuke)Yeye amesahau wakati yuko madarakani alivyokuwa akimtesa HH? Na badoooo!