Jinsi chama cha upinzani kinavyomsulubu Edgar lungu ambaye aliachia uongozi kwa amani

Ukisoma history vizuri suala la Chama tawala na chama cha upinzani ni fikra za kutokujua uhalisia wa mambo.


Ukipitia Wikipedia ya office holders utaona toka Kaunda mpaka sasa Zambia imepitia mabadiliko ya vyama vinee.

Hivyo kuna haja ya kufanya homework kabla ya kusema Edgar Lungu anateswa na upinzani,.maana hata muasisi wa chama cha Lungi hakuwa chama tawala wakati Zambia inapata uhuru.
 
Nimeiona post yako nikataka kuandika jambo flani ila nimejizuia kuliandika.
 
Nimeiona post yako nikataka kuandika jambo flani ila nimejizuia kuliandika.
bora umejizuia maana ingekua kujinyonga tungekua tumepoteza nguvu kazi ya Taifa kwa post moja tu JF....

hata hivyo,
huo sasa ni uchoyo au ubinafsi, hutaki wengine wajifunze au kupata ufahamu na uelewa zaidi kutoka kwa maoni au mtazamo wako....

sasa,
ukibaki nalo silitakupa kihoro zaidi moyoni whether liwe gumu au jepesi.

bora ulitoe upate relief na usonge mbele na mengine πŸ’
 
Nani alikuambia Afrika kuna tofauti kati ya upinzani na chama tawala? Yaani mtu mwenye akili timamu uwape Chadema nchi ili Godbless Lema awe Waziri wa Mambo ya Ndani! Utakuwa na akili kweli?
 
Chama kinachoendesha nchi ndicho chama tawala kwa wakati huo, kilichopo nje ndicho cha upinzani, sikumaanisha chama kile kilichodai uhuru na kuongoza.
-Ukiangalia kwa umakini na kwa jicho la Tatu, utagundua nje ya katiba mpya, lakini utagundua yapo ya kurekebisa, hata baada ya chama kingine kushika dola, na ndiyo maana tunapaswa kuwa na subira kidogo tusikimbie kama wengine!
 
Yeye amesahau wakati yuko madarakani alivyokuwa akimtesa HH? Na badoooo!
 
Yeye amesahau wakati yuko madarakani alivyokuwa akimtesa HH? Na badoooo!
Yapo mambo yakiachwa kuendelea yatasababisha demokrasia kuwa ngumu barani Afrika, ni lazima uwepo utaratibu bora utakaohakikisha kutoka madarakani na kuingia tena haliwi jambo la hatari kwa pande zote mbili, haya nayo ni ya kuongeza katika katiba mpya ijayo, (Tusikurupuke)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…