Huyo Sabaya hua simkubali wala nini lkn kwa hili namuunga mkono.Hii video Ole Sabaya kampigia simu Mkuregenzi Brela kasema haijasajiliwa na walisha toa tahadhari kwa bahadhi ya taasisi ya serekali zilipo omba kujua uhakika wake : DC SABAYA AINGILIA KATI SAKATA LA WANANCHI KUTAPELIWA
Kwani kusaidia walimu walioibiwa ni kiki????Yaani sasa sijui kick zitatoka wapi. Wapinzani hawapo tena sijui watu kama huyu DC watasikika kwa lipi. Maana mtaji wake ulikuwa Mbowe na sasa hayupo
Walimu wamekuwa wahanga wakubwa wa hizi feki financial institutions. Mwanzoni ilikuwa wale Bayport.... Na yote haya ni kutokana na walimu kuwa na mishahara dunu... Imagine eti mbunge std 7 kama Msukuma au Kibajaji analipwa milioni 11 monthly huku mwalimu aliambulia laki 8 au 9Mwalimu mzima unashindwa kujua kuwa QNET ni matapeli na sio mara ya kwanza wanaanikwa wazi hawa QNET[emoji3062]
waliosema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hawakukosea, tufanyeni kazi halali, tuache tamaa na tuache kupenda shortcuts, hela za chapchap namna hiyo hakuna
Alafu hawakomiii wakiambiwa kuhusu biashara hizo utambiwa unatuonea GereTamaa, tamaa, tamaa. Watu wanaponzwa na tamaa ya fedha na mali, unapewa maneno au jambo lamatumaini ili utapeliwe.
CCM bwana! Hata shetani anakiogopa.MwanaCCM mwenzenu ameamua kutekeleza ilani ya chama kwa vitendo...π
Aisee!
Sijui labda kwa sababu sina hizo pesa ila mtu hadi anishawishi nitoe pesa yangu tena 3m nimpe mtu eti niwekeze dah[emoji15], ntawekeza mwenyewe tu kwakweli. Unaambiwa Nunua saa mili 5 utapata 2times mmh how?
Walimu wanalipwa laki 3 kwa utata sana πππ hivyo ikatokea mtu akawalipa dollar 200 ya bure bure tu mbona unawavuna wengi tu.Shida iko kwa Walimu,kwa akili za Walimu wetu,ndiyo maana wanashundwa kusoma hata hati ya kiapo.
Unategemea
Goodmorning billionaire.View attachment 1647605
We ni mpumbavu Γ20, walimu hawa unawaita wajinga wamefundisha familia yako na ukoo wako wote,Kundi la waalimu limejaa watu wajinga sn sijui ni kwanini?
Kwahiyo kwao bidhaa ni watu? Kuuza watu?Lakin si wameambiwa na kampun walete wenzao wawili wajiunge ndipo walipwe hizo dola 200? Kama hawajaleta wanachama wengine wamekiuka masharti. Shikamoo pesa
Kilichoandikwa kwenye tittle ni kingine; KEREBISHA tafadhaliπππππππKwa mujibu wa mkuu huyo wa wilaya, Mwapombe ambaye ni afisa ugavi wa