lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 257
- 922
Ipi hiyo?Walimbana sehemu mbaya
Uko nyuma ya mudaKatika barua yake kwa umma Mhe Dk Emmanuel Nchimbi amesema kwamba nanukuu
"... nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Mhe. Rais anatamani mabadiliko, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu...."
Alipoona baadhi ya viongozi na wabunge wa ccm wanasimama hadharani na kumuita Yuda alidhani wanajituma wenyewe. Baadaye akapelekewa wito wa kumwita kwenye kamati ya maadili ya chama akaipokea. Siku ya kikao husika hakwenda kuhojiwa na kamati. Safari hii wakaandika barua kali zaidi wakimwita kwenye kamati kwa kikao kingine ambacho pia hakwenda.
Baadaye akapata taarifa kuwa wameitisha kikao cha kamati kuu cha dharura kwa ajili ya kumjadili na kumvua uanachama ili akose sifa za kuwa makamu wa Rais kwa mujibu wa katiba. Hapo ndipo sasa alipojiridhisha pasipo shaka kwamba Mhe. Rais anatamani mabadiliko. Akabaki na machaguo mawili, atimize ahadi yake ya kupisha makamu wa Rais mwingine ateuliwe au akomae wakamvue uanachama wao wenyewe.
Ama kwa hakika uamuzi aliochukua wa kuwawahi siku moja kabla ya kikao chao ni mzuri. Ni uamuzi ambao umemwacha na heshima kuliko angeondolewa na wao wenyewe. Kwa sasa sidhani kama wataendelea kumjadili na kumvua uanachama. Hata wakiamua wachukue kadi yao bado maamuzi yao yatakuwa overtaken by events kwa sababu ameshasema anastaafu siasa hivyo hata hiyo kadi haina kazi.
Ashukuru Mungu hawakumuua kama PolepoleWalimbana sehemu mbaya
MakendeIpi hiyo?
Acha kumeza maneno ya vijiweni mkuuUko nyuma ya muda
Kuna uzi ulishaletwa toka juzi na barua ile alishaandikiwa hakuandika yeye..
Hajawawahi ni kama ya Ndugai tu.
Haya sawa nameza maneno ya vijiweni mkuu.Acha kumeza maneno ya vijiweni mkuu
Inasemekana alikataa kuweka sumu kwenye chakulaKitendo pia Cha mpishi wake kufa kiajabu ilikuwa ni waking up call iliyomlazimu kufanya maamuzi ya haraka.
Soma hii makala ya MwanahalisiKatika barua yake kwa umma Mhe Dk Emmanuel Nchimbi amesema kwamba nanukuu
"... nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Mhe. Rais anatamani mabadiliko, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu...."
Alipoona baadhi ya viongozi na wabunge wa ccm wanasimama hadharani na kumuita Yuda alidhani wanajituma wenyewe. Baadaye akapelekewa wito wa kumwita kwenye kamati ya maadili ya chama akaipokea. Siku ya kikao husika hakwenda kuhojiwa na kamati. Safari hii wakaandika barua kali zaidi wakimwita kwenye kamati kwa kikao kingine ambacho pia hakwenda.
Baadaye akapata taarifa kuwa wameitisha kikao cha kamati kuu cha dharura kwa ajili ya kumjadili na kumvua uanachama ili akose sifa za kuwa makamu wa Rais kwa mujibu wa katiba. Hapo ndipo sasa alipojiridhisha pasipo shaka kwamba Mhe. Rais anatamani mabadiliko. Akabaki na machaguo mawili, atimize ahadi yake ya kupisha makamu wa Rais mwingine ateuliwe au akomae wakamvue uanachama wao wenyewe.
Ama kwa hakika uamuzi aliochukua wa kuwawahi siku moja kabla ya kikao chao ni mzuri. Ni uamuzi ambao umemwacha na heshima kuliko angeondolewa na wao wenyewe. Kwa sasa sidhani kama wataendelea kumjadili na kumvua uanachama. Hata wakiamua wachukue kadi yao bado maamuzi yao yatakuwa overtaken by events kwa sababu ameshasema anastaafu siasa hivyo hata hiyo kadi haina kazi.
Katika barua yake kwa umma Mhe Dk Emmanuel Nchimbi amesema kwamba nanukuu

Nafikiri huu ndio ukweli wa mambo.Katika barua yake kwa umma Mhe Dk Emmanuel Nchimbi amesema kwamba nanukuu

Job?Ashukuru Mungu hawakumuua kama Polepole